Mechi ya taifa stars vs Tunisia 17/11/2020 kuchezwa saa 20:00Pm, karibu kwa updates

Said Hamis Ndemla ! jaribio zuri lakini mpira unatoka mita chache ktk goli la Tunisia

Bado ubao wa magoli hapa Benjamin Mkapa unasomeka:
Tanzania 1: 1 Tunisia
 
Na wakimaliza match hao waume zako uende nao
Mkuu jamaa anavyoshabikia upande wa pili binafsi namuelewa sana, siku zote hatuwezi kutatua matatizo kwa kujidanganya kua hayapo

Watu wasio na weredi karibu katika nyadhifa mbalimbali hapa nchini ndio wanaoiharibu sana nchi yeu, ndio wanaotupandikizia chuki miongoni mwetu na kutugawa yote kwa sababu ya faida yao na matumbo yao.

So relax wacha watu watoe maduku duku yao ya moyoni hua inasaidia sana kuponya, tena bora jamaa hajawa mnafki , ila wapo wengi tu

Binafsi mimi sishabikii Tunisia kwangu nipo neutral kama tutafuzu sawa kama hatutafuzu sawa, ila mambo yanayondelea nchi mwetu yasipo tokomezwa bado yataendelea kutugawa na kututafuna sana hata kwa vizazi vya watoto na wajukuu zetu.
 
Dakika ya 93' Ditram Nchimbiii ! Kichwa kwa kuchumpa diving header dizaini ya LaLiga tu lakini leo tunaona live hapa Benjamin Mkapa stadium, mpira unatoka nje sentimita kadhaa. Lingekuwa goli la "kideo". Kwako Mwl. Kashasha endelea kutupa analysis ya mchezo mzima.

Mpira umeisha hapa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam

Matokeo
TANZANIA 1: 1 TUNISIA
Aggregate Tanzania 1 : 2 Tunisia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom