Mechi ya taifa stars vs Tunisia 17/11/2020 kuchezwa saa 20:00Pm, karibu kwa updates

Dakika ya 47 ' : Fei Totoo Salum ! Shoot goooaal , Taifa Stars wanafunga bao la kusawazisha kwa shuti kali la Fei Toto.

Taifa Stars imeingia kipindi cha pili cha mchezo kwa uchu mkubwa.

Salum Abubakar anaingia kuchukua nafasi ya John Bocco Papaa
Tanzania 1 : 1 Tunisia
 
Kwani ndio mnajua leo?! TFF imejaa mikia...halafu mikia kazi yao kuvizia usajili wa Yanga...marefa wetu ndio hivyo Tena...kiongozi wa klabu ni mipasho tu...waandishi ushabiki mbele hakuna uchambuzi wa maana...mitandaoni humu mashabiki ni kutukanana tu...
Kwa hiyo Simba kuvizia usajili wa Yanga ndio imesababisha Watunisia watuache mbali kwa kiwango?
 
Live toka Dar es Salaam


Dakika ya 62 ' ya mchezo, Tunisia wakosa nafasi ya wazi baada ya Aishi Manula kupangua shuti la waTunisi.

kona kuelekea goli la Taifa Stars. Khazry anaomba amiminiwe kona.

Tanzania 1 : 1 Tunisia
 
Kipindi kile stars imefuzu sifa nyingi sana zilienda kwa mwenye nchi na ndugu wa kile chama chake wapo wariodiriki mpaka kusema ni juhudi za mwenye nchi hawakujua kama wana gawa watu.. Sasa hivi wanafungwa wasifiaji wote wapo kimya wanataka timu iwe ya Watanzania wote.

Anyway siku zote juhudi hua hazizidi uwezo, bado vipigo vitaendelea mpaka wenye mamlaka na mpira akili zitakapo wasogea.
 

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom