Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,700
- 1,721
Tumeisha zowea kuona mbinu za watawala wa vilabu vya Simba na Yanga kwenye mechi za kimataifa za mashindano kupanga kuanza saa tisa mchana hapa nyumbani. Hii imeiambukiza timu ya Azam, kama ni kuwakomoa wapinzani eti ni joto mbona hatufiki mbali? Hebu tubadilike tucheze soka.