Mechi ya Simba na Yanga CECAFA Mashabiki wasiende. Jeuri ndugu yake kusudi

Mgeni rasmi ni Rais wa Inchi gani?
Washabiki wa Yanga ni Wastaarabu sana na wanatabia halisi za Kitanzania za amani na upendo.
Mara zote Yanga wakiwafunga Simba Inchi nzima ni sherehe za kula na kunywa kwa washabiki wa Simba, Yanga na wale wasio na timu.
Wafanyabiashara hutapa pesa nyingi kipindi hiki.
Washabiki wa Simba kama lilivyo jina lao, wakishinda kila sehemu ni matusi na kuzomeana.
Siku hiyo kunakuwa hakuna biashara kabisa.
Washabiki wa Yanga kuepusha shari huwa wanakaa ndani na kunyamaza kimya.
Simba asili yake si watu weusi ni ya Wahindi na Waarabu kipindi tunapigania uhuru.
Yanga ni timu ya wazawa wakati tunapambana na mkoloni na ndiyo maana tumepata uhuru bila kutumia mtutu wa bunduki.
 
Musonye anafanya mambo kiswahili sana. na inaonekana wazi jinsi ambavyo mara nyingi amekuwa akifanya mashindano haya kibiashara zaidi kuliko kimichezo. na hili jambo limekuwa likigharimu soka letu na centre africa kwa kiasi kikubwa sana. mara kadhaa kuna timu zimekuwa zikilazimishwa zifike fainali hata kama kiwango chao kidogo ili kuleta mapato makubwa katika mechi hizo.

sasa hili la kuzipanga simba na yanga kwenye kundi moja ili kulazimisha zikutane ni la kipuuzi. inakuaje kundi moja liwe na teamu mbili toka nchi moja wakati kulikuwa na uwezekano wa kuzigawa ili kuleta ushindani zaidi? nini kinampa mawazo kuwa team flan ikiwekwa kundi flani inawezekana isije kutana na kundi flani?

ni mawazo ya kipuuzi na tufikie wakati tuyakatae. mimi nashauri mechi ya simba na yanga mashabiki tuigomee wala tusiende uwanjani ili lengo lake musonya lisitimie. asitufanye sisi wapuuzi.na hii inajenga dhana mbaya kuwa mpira ni simba na yanga tu.. badala ya kuangalia namna gan ya kuhamasisha watu wapende kwenda uwanjani yeye anazidi kuendeleza dhana potofu kuhusiana na mechi ya team zetu.
Hiyo inaitwa mbinu shirikishi....
 
upload_2018-6-8_9-40-35.png
 
Hahaha mlitaka watugawe ili mkimbie shubamiti....Subiri Simba awaongeze vitobo tuu hamna namna
 
Yanga wakijitoa basi ntawadharau,hao Goro Mahia watakaocheza nao,wao hawashiriki Haya mashindano?.Michuano inaisha tare 13,yanga wanacheza tare 17 na goro mahia siku nne za mapumziko wanazo kama wakiingia fainali.

Suala wanalolikwepa yanga nikukutana na Simba,kwa sababu wanahofu wakifungwa hali ya hewa itachafuka.Nachowashauri CECAFA wawafungie yanga kushiriki mashindano haya kwa muda miaka 2 au 3,kama watakuwa wamejitoa ili mwakani wapate muda mzuri wakupumzika.Maana hawatokuwa kwenye mashindano yoyote ya kimataifa.
 
Hata wakiwafungia haina maana,Yanga wanajua bila wao Cecafa haipigi hela,tatizo Musonye anaendekeza njaa ,kwani ni Mara ya kwanza Yanga kufanya haya?

Yanga chini ya Maximo walijitoa waliwafungia?
Yanga walishagoma kwenda uwanjani waliwafanya nn?

Kagame Cup inapoteza mvuto ,na ndio hata hata timu waalikwa siku hz haziji
 
musonye ni mhuni mhuni tu... binafsi mimi sipendelei uongozi wake. amekuwa akiangalia sana maslah kuliko kuendeleza mpira. cecafa kwa sasa haina ngvu huwezi ilinganisha na miaka ile ya 90s na early 2000s ilikuwa kombe la afrika mashariki na kati lilikuwa na msisimko sana. tena sana. kwa sasa hamna kitu.

Hata wakiwafungia haina maana,Yanga wanajua bila wao Cecafa haipigi hela,tatizo Musonye anaendekeza njaa ,kwani ni Mara ya kwanza Yanga kufanya haya?

Yanga chini ya Maximo walijitoa waliwafungia?
Yanga walishagoma kwenda uwanjani waliwafanya nn?

Kagame Cup inapoteza mvuto ,na ndio hata hata timu waalikwa siku hz haziji
 
kwa taarifa za chini ya kapeti zinasema viongozi wa yanga wameandika barua kujitoa cecafa. kama ni kweli nadhani itakuwa safi sana musonye kwisha habari yake
 
Wanayanga mnaogopa kugusa sharubu za Simba,jikazeni kike mnaweza kuifunga Simba.
 
Back
Top Bottom