guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,755
Baada ya ile kashi kashi ya kule Angola je mechi ya kwanza Namungo atacheza na hawa jamaa lini?
Mechi ikishakua postponed kutoka kwenye tarehe official inayotambulika na Hizi website huwa inatolewa kwenye Ratiba lakin Wata update matokeo ya hiyo mechijane Lowasa
Shukrani sana!
ila nimecheki baadhi ya saiti wanaandika iko postponed,
flashscore.mobi na zinginezo
Kila la heri wawakilishi wetu. Kwa wale Wa tarehe 23 Naamini hawahitaji maombi ya mtu yeyote mana wana Paka wao,hivyo wapamane na Paka wao tuKesho Jumapili saa 10 jioni Azam Complex
Mbili ila zote zitapigwa hapa hapaKwa mech moja tuu au???
Kumbe we Kidimbwi FC. Ovyooooooooooooo. Ningejua nisingekujibu. Mxxxxxciuuuuuu. Mi na utopolo mbali mbali yaani.Kila la heri wawakilishi wetu. Kwa wale Wa tarehe 23 Naamini hawahitaji maombi ya mtu yeyote mana wana Paka wao,hivyo wapamane na Paka wao tu
Hii option unacheza vp,? Naomba mfano
Angejibiwa na wengineKumbe we Kidimbwi FC. Ovyooooooooooooo. Ningejua nisingekujibu. Mxxxxxciuuuuuu. Mi na utopolo mbali mbali yaani.
Haji anawadanganya hawa mbumbumbu!jane Lowasa
pole sana,
kumbe kuna watu huu usimba na uyanga wanauchukulia serious?
wakati miye nizitumie simba na yanga kutunisha mfuko wangu nyie mnawaza kutengana kwa utimu?
sasa utawatenga wangapi!?
miye huwa nawashangaa mashabiki uchwara wa simba na yanga!
Mashabiki wa Yanga siyo watu hata kuwakopesha 5,000. Hawaaminiki, hawakubaliki, hawana wema.Angejibiwa na wengine
Jifunze kutag kwa ufasaha. Huyo Jane Lowasa ni mwingine kabisa, siyo mimijane Lowasa
Jakaya Mrisho Kikwete naye mtu wa ovyo?