Mechi ya kirafiki

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,720
155,306
Urafiki gani huo wa kung'oana meno?

ndondi.jpg
 
:confused2::confused2::confused2::confused2::confused2:

Ndio maana watu weusi tunachukiwa sana na watu wa rangi zingine........tuko fit sana.....hiyo ngumi ikikutana na baniani o salale
 
Sio meno haya haya mnalipa fedha kung'olewa hospitali? Kama hawa wanang'oana bure mbona ni faraja na huo ndio hasa urafiki.

BB Promotions wanatajajia kuandaa pambano la kirafiki kusheherekea mwaka mpya wa 2013 kati ya Bujibuji na alwatan Mbuzi Mzee, hakuna kiingilio. Hii ni kwa hisani ya Bumpkin Billionare.

Mdundano utaanza saa 8 usiku ndani ya ukumbi wa JF jukwaa la 'FOTO', kaburini sana
 
Last edited by a moderator:
Huyo mwenye blue tayari hana ya juu, kama hakung'olewa kwenye shughuli kama hiyo, basi ni KABILA LA MAMAANGU tawi la Kenya. Manake tawi la Kenya linaujeuri acha mchezo, limetinga hadi ikulu ya marekani na kukalia kiti
 
Sio meno haya haya mnalipa fedha kung'olewa hospitali? Kama hawa wanang'oana bure mbona ni faraja na huo ndio hasa urafiki.

BB Promotions wanatajajia kuandaa pambano la kirafiki kusheherekea mwaka mpya wa 2013 kati ya Bujibuji na alwatan Mbuzi Mzee, hakuna kiingilio. Hii ni kwa hisani ya Bumpkin Billionare.

Mdundano utaanza saa 8 usiku ndani ya ukumbi wa JF jukwaa la 'FOTO', kaburini sana

Pambano liwe tarehe 26 December........Boxing Day!
 
uyo jamaa mwenye red anakwepa sumbwi au anacheza kiduku.....?

attachment.php
 
Back
Top Bottom