Mechi ya kirafiki: Tanzania na Jamhuri ya Kidemocrasia ya Kongo zimetoka sare ya kufungana 1 -1

Hii timu kama ndio inaenda CHAN hamna kitu inabidi ivunjwe waitwe upya hamna timu hapo,

Kwaninii walimu wanamuacha mzamiru yasini,tz hamna namba 6 iliyokamilika kama mzamiru ila walimu huwa wana mu underestimate sijui kwa ninii
Wafukuze na kocha kabisa, anamng'ang'ia Kaseja sijui bwanaake.
 
Hata sisi watanzania mwenyewe sio wazalendo.Uzi wa mechi ya taifa stars mpira unaisha upo page ya pili ila ngoja kesho ule wa mikia against utopolo half time tu utakuwa page ya saba!
Mashabiki wanataka mpira mzuri unaovutia kutazama.
 
Back
Top Bottom