Mechi kati ya Liverpool na Genk inarudiwa muda huu Supersport 3

Mr Misifa

JF-Expert Member
Sep 13, 2019
255
470
Wakuu habari za muda huu?
Kama kichwa cha uzi kinavyoeleza kwa ambaye hakubahatika kutazama machi kali na yakuvutia ya Mtanzania Mbwana Ally Samatta inaonyeshwa marudio muda huu kwenye chanel ya supersport3 wale wenye kisimbuzi cha Dstv sjui ni chanel gani nyingine, ila mimi nmeona hio ndiyo inaoyesho now kama kuna nyingine inaonyesha unaweza kushare na wana hapa.

Asanteni sana wadau wangu.
 
Mkuu muda wa kazi huu. Tujitahidi tumebakiza mwaka mmoja tuifikie Tanzania ya viwanda.
 
Wakuu habari za muda huu?
Kama kichwa cha uzi kinavyoeleza kwa ambaye hakubahatika kutazama machi kali na yakuvutia ya Mtanzania Mbwana Ally Samatta inaonyeshwa marudio muda huu kwenye chanel ya supersport3 wale wenye kisimbuzi cha Dstv sjui ni chanel gani nyingine, ila mimi nmeona hio ndiyo inaoyesho now kama kuna nyingine inaonyesha unaweza kushare na wana hapa.

Asanteni sana wadau wangu.
Utanipa matokeo, labda Genk watashinda
 
Back
Top Bottom