The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,247
jinsi upepo ulivyo tu,bila shaka yanga atapgwa leo!
<br />Usisahau wewe uko kaitaba, ujipange sio kuangalia upande mmoja
<br />yanga yanga yangaaa tatizo lipo wapi?,kwan wewe hupend yangu abamizwe ili simba unayoshabikia isonge?. Kumbuka msimu uliopita uliongoza ligi mpaka kabla ya mechi moja-moja na ushnd wakachukua hao hao wa mwisho
Huyu mtani atachomoa kweli leo?
&lt;br /&gt;<br /><br />nilisema! Yametimia!