mechi kali ya vpl leo:yanga vs azam..yanga asipobamizwa ni bahati!

yanga yanga yangaaa tatizo lipo wapi?,kwan wewe hupend yangu abamizwe ili simba unayoshabikia isonge?. Kumbuka msimu uliopita uliongoza ligi mpaka kabla ya mechi moja-moja na ushnd wakachukua hao hao wa mwisho
 
<br />
<br />
msisimko wa ligi utapungua mkuu
 
Azam huwa wagumu wanapocheza na Simba ila huwa tofauti wanapokipiga na yanga, labda mkataba wao wa kuuziana ngassa una kipengele cha kupeana ushindi
 
Back
Top Bottom