Mecheka sana.

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
53,102
53,351
Mwajei: Dia nipo Kariakoo, kuna
jeans nimeiona nimeipenda
inauzwa efsalasin, ningenunua
sema wallet nmesahau, pls
nirushie tigopesa darling.
Beka: *150*01#...
TigoPesa: Umepokea Tsh 1000
toka kwa Beka.
Mwajei: Dia mbona buku tu?
Beka: Nauli, 500 kwenda home
kuchukua wallet, 500 kurudi kkoo
kuinunua. Vipi ni nyeusi?Maana
dia ukiwa kwenye nyeusi
unatokaga bomba sana, cant wait
to see u!!
 
Right rescue at the right time for the right person! Na iwe fundisho kwa kina dada wanaodhani wanaume ni ATM Machines.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom