Mechanical Engineer, naomba mnisaidie niweze kupata walao ajira ili niweze kumudu gharama za maisha

Brother hakuna hyo kitu ..labda Veta huko ila kwa level ya degree hamna hyo kitu.
Afu kwa system yetu ya elimu hii utoke tu from chuo uanze kujiajiri ni ngumu sana na hasa kama ulipitia Advance kama Mimi ,labda kwa wale ambao walianzia diploma .huku Chuo ni madesa tu boss na hata hizo practical training kupata sehemu nzuri ni kazi kweli na uwe na connection.
Kwa sababu ulishagundua tatizo,unatakiwa uanze kujibrand anza kujitolea kwenye magereji tofauti ili kupata ujuzi
 
Ndio hivyo jamaa hajui anachokiongea amesimuliwa tu.
Yaani vitu anavyoongea ni sawasawa mtu mwingine aje aseme"YAANI MWANASHERIA ANASHINDWA HATA KUWA KARANI WA MAHAKAMA KWELI?"
Mwanasheria ana nafasi kubwa hasa kwenye kujiajiri, anaweza kuanza kujitolea kwa kuwasaidia watu wenye shida kuanzia mahakama za mwanzo n.k, inategemea yeye anataka aji-brand vipi
 
Brother hakuna hyo kitu ..labda Veta huko ila kwa level ya degree hamna hyo kitu.
Afu kwa system yetu ya elimu hii utoke tu from chuo uanze kujiajiri ni ngumu sana na hasa kama ulipitia Advance kama Mimi ,labda kwa wale ambao walianzia diploma .huku Chuo ni madesa tu boss na hata hizo practical training kupata sehemu nzuri ni kazi kweli na uwe na connection.
Ukimaliza jamaa yangu njoo uombe intern TRC utanufaika na mengi pia Hizo Large medium Two na Four strokes Diesel Engines, Air Compressors, Generators, Traction Motors n.k Tena kama wewe M.E utafanya shughuli nyingi mno zitakupa wigo mpana Sana. Usisahau Hilo wapo wenzako huku
 
Shukrani boss nitajitahidi kufanya ivo.
 
Sis Form 4 failure ..
Tuliokimbilia Majeshin nao ndio tunakula keki!!...Na Vi""vtz vya mikopo...

N.B
Nimewatia Mimba dgr!!! Holder 2...
Na Hapa Ghetto Ninakaa na mwana zaman alikua msongoo wa masomo sahiv hananisubili nimtaftie mchongo....yupo kwangu..na ki"bachelor' chake"""""""""""""***Maisha haya;

We jamaa unakashfa sana nashangaa hata huyo jamaa yako ameweza vipi kuishi hapo ghetto kwako.

Lakini nakuhakikishia one day utamuheshimu huyo jamaa yako...TUOMBE UHAI.
 
Huo ushauri uliopewa utakuja kuulewa ukiingia rasmi mtaani ,
Jamaa kakupa ushauri mzuri tu sema hutaki kuitune akili yako ikubaliane na anachokiongea mwenzako , mifano ipo mingi kwa sababu hutaki kujua , utaijua ukiingia rasmi mtaani

Wajuba kibao wametoka VETA na course zao kama electronics, electric installation domestic and industries, masons, welding, etc lakini wako tu kitaa hawana Kazi,,, wengine wameamua kuwa bodaboda na wengine wanauza mitumba!

Mkuu hata ukimaliza Veta ajira sio za kuokota siku hizi, kama huna connection utasota! Hata kujiajiri bila mtaji ni mbinde!

Jamaa yuko right, ndiyo he is absolutely right! Ukitoka Veta usidhani ndio ajira za kuokota mkuu, utajuta! Labda zamani!
 
Ukimaliza jamaa yangu njoo uombe intern TRC utanufaika na mengi pia Hizo Large medium Two na Four strokes Diesel Engines, Air Compressors, Generators, Traction Motors n.k Tena kama wewe M.E utafanya shughuli nyingi mno zitakupa wigo mpana Sana. Usisahau Hilo wapo wenzako huku
Hapo TRC intern wanalipwa??
 
Watu wengi hawajui Kwamba Mfumo Wa Elimu Ya Veta Nao Umebadilika , Mfumo Wa Sasa Wa CBA ( Complete Basic Assignment) Nao Unamfanya Mwanafunzi Kukariri Ili Aweze Kufaulu . Maana Mwanafunzi Anakuwa Na Masomo Karibia 11 Include Somo La Fani Alafu Anatakiwa Afaulu Yote , Mimi Nimesoma Veta Dsm Long Course Ya Miaka 3(2012-2014) Ya ELECTRONIC Na Kufaulu Masomo Yote Nikapata VC1 nipo Vizur Theory Pratical Hamna Kitu .......! Mpaka Leo Bado Sijaona Manufaa Ya Cheti Changu Zaidi Kipo Kabatini Huku Nikifanya Mishe zingine zinazonipa mpunga
 
Mechanical engineering koz nzr kabisa kwa mazingira yetu ya TZ na afrika kwa ujumla wake najuta kwa nn niliikimbia na kufanya uhasibu wkt kwa sasa nagonga engineering pure
 
Habari Wakuu!

Mimi ni Mechanical Engineer shahada yangu nimeipata mwaka 2017 katika moja ya vyuo hapa nchini. Tangu nihitimu nishajitolea katika makampuni/taasisi mbili tofauti, na kila moja nilijitolea kwa muda wa mwaka mmoja.

Kwa bahati mbaya ni kwamba sikubahatika kupata ajira katika kampuni mojawapo kutokana na miundo yao ilivyo, yaani hazikui kwa hiyo ni ngumu kwa nafasi mpya kutokea.

Kujitolea huko kumenipa uzoefu katika masuala mazima ya Maintenance, Operation na Supervision ya Engines, Pumps, Valves, Motors, Generators na vingine vingi.

Kupitia jukwaa hili naomba mnisaidie niweze kupata walao ajira ili niweze kumudu gharama za maisha ambazo kiukweli zimekuwa ngumu kwangu.

Napatikana muda wowote nikihitajika na nipo tayari kufanya kazi katika kona yeyote ya Tanzania. Ntatuma CV yangu kwa njia yoyote ile ambayo itampendeza muombaji wa hiyo CV.

Ahsanteni sana.

Updates;
Wakuu bado nina uhitaji, tushikaneni mikono tafadhali.
Tunahitaji mwalimu wakufundisha kozi ya ufundi magari(MVM) na umeme wa magari(Auto electrical) kwa vijan wa kozi za VETA level 1-3.
Kama una interest na unaweza tuwasiliane -0717157640
Na pia unaweza tutuma CV YAKO kidtcollege@gmail.com
 
Gari lina mifumo mingi.. ndio maana huyo nikamwambia engine za piki piki. sio sabab ni mechanical engineer ukaweza kutengeneza gari nzima.. maana vitu vingine havimuhusu mtu wa mechanical

Mechanical engineer yeyote ni lazima ajue engine ya gari ilivyo na hata ikiwa mbovu ni lazima ajue kuirekebisha.. kujua ufundi injini ni basic ya mechanical engineering..

Pia garage kuna vifaa vingi vya kazi.. mwingine hana vifaa vya diagnosis na wala kutengenezea gari lake ndio maana anapeleka garage..

Back
Top Bottom