Mechanical Engineer, naomba mnisaidie niweze kupata walao ajira ili niweze kumudu gharama za maisha

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
13,123
2,000
Brother hakuna hyo kitu ..labda Veta huko ila kwa level ya degree hamna hyo kitu.
Afu kwa system yetu ya elimu hii utoke tu from chuo uanze kujiajiri ni ngumu sana na hasa kama ulipitia Advance kama Mimi ,labda kwa wale ambao walianzia diploma .huku Chuo ni madesa tu boss na hata hizo practical training kupata sehemu nzuri ni kazi kweli na uwe na connection.
Kwa sababu ulishagundua tatizo,unatakiwa uanze kujibrand anza kujitolea kwenye magereji tofauti ili kupata ujuzi
 
Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
13,123
2,000
Ndio hivyo jamaa hajui anachokiongea amesimuliwa tu.
Yaani vitu anavyoongea ni sawasawa mtu mwingine aje aseme"YAANI MWANASHERIA ANASHINDWA HATA KUWA KARANI WA MAHAKAMA KWELI?"
Mwanasheria ana nafasi kubwa hasa kwenye kujiajiri, anaweza kuanza kujitolea kwa kuwasaidia watu wenye shida kuanzia mahakama za mwanzo n.k, inategemea yeye anataka aji-brand vipi
 
Lumoge

JF-Expert Member
Apr 1, 2020
275
250
Brother hakuna hyo kitu ..labda Veta huko ila kwa level ya degree hamna hyo kitu.
Afu kwa system yetu ya elimu hii utoke tu from chuo uanze kujiajiri ni ngumu sana na hasa kama ulipitia Advance kama Mimi ,labda kwa wale ambao walianzia diploma .huku Chuo ni madesa tu boss na hata hizo practical training kupata sehemu nzuri ni kazi kweli na uwe na connection.
Ukimaliza jamaa yangu njoo uombe intern TRC utanufaika na mengi pia Hizo Large medium Two na Four strokes Diesel Engines, Air Compressors, Generators, Traction Motors n.k Tena kama wewe M.E utafanya shughuli nyingi mno zitakupa wigo mpana Sana. Usisahau Hilo wapo wenzako huku
 
jombi95

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
1,270

Shukrani boss nitajitahidi kufanya ivo.
 
Srinivan Ramanujan

Senior Member
Nov 1, 2019
102
250
Sis Form 4 failure ..
Tuliokimbilia Majeshin nao ndio tunakula keki!!...Na Vi""vtz vya mikopo...

N.B
Nimewatia Mimba dgr!!! Holder 2...
Na Hapa Ghetto Ninakaa na mwana zaman alikua msongoo wa masomo sahiv hananisubili nimtaftie mchongo....yupo kwangu..na ki"bachelor' chake"""""""""""""***Maisha haya;

We jamaa unakashfa sana nashangaa hata huyo jamaa yako ameweza vipi kuishi hapo ghetto kwako.

Lakini nakuhakikishia one day utamuheshimu huyo jamaa yako...TUOMBE UHAI.
 
Loyalist

Senior Member
Aug 28, 2020
117
250
Huo ushauri uliopewa utakuja kuulewa ukiingia rasmi mtaani ,
Jamaa kakupa ushauri mzuri tu sema hutaki kuitune akili yako ikubaliane na anachokiongea mwenzako , mifano ipo mingi kwa sababu hutaki kujua , utaijua ukiingia rasmi mtaani

Wajuba kibao wametoka VETA na course zao kama electronics, electric installation domestic and industries, masons, welding, etc lakini wako tu kitaa hawana Kazi,,, wengine wameamua kuwa bodaboda na wengine wanauza mitumba!

Mkuu hata ukimaliza Veta ajira sio za kuokota siku hizi, kama huna connection utasota! Hata kujiajiri bila mtaji ni mbinde!

Jamaa yuko right, ndiyo he is absolutely right! Ukitoka Veta usidhani ndio ajira za kuokota mkuu, utajuta! Labda zamani!
 
nyasangaboy

Member
Jul 14, 2020
69
95
Ukimaliza jamaa yangu njoo uombe intern TRC utanufaika na mengi pia Hizo Large medium Two na Four strokes Diesel Engines, Air Compressors, Generators, Traction Motors n.k Tena kama wewe M.E utafanya shughuli nyingi mno zitakupa wigo mpana Sana. Usisahau Hilo wapo wenzako huku
Hapo TRC intern wanalipwa??
 
A Boy From Kigoma

JF-Expert Member
Feb 3, 2018
250
250
Watu wengi hawajui Kwamba Mfumo Wa Elimu Ya Veta Nao Umebadilika , Mfumo Wa Sasa Wa CBA ( Complete Basic Assignment) Nao Unamfanya Mwanafunzi Kukariri Ili Aweze Kufaulu . Maana Mwanafunzi Anakuwa Na Masomo Karibia 11 Include Somo La Fani Alafu Anatakiwa Afaulu Yote , Mimi Nimesoma Veta Dsm Long Course Ya Miaka 3(2012-2014) Ya ELECTRONIC Na Kufaulu Masomo Yote Nikapata VC1 nipo Vizur Theory Pratical Hamna Kitu .......! Mpaka Leo Bado Sijaona Manufaa Ya Cheti Changu Zaidi Kipo Kabatini Huku Nikifanya Mishe zingine zinazonipa mpunga
 
geofreyngaga

JF-Expert Member
Sep 7, 2014
420
500
Mechanical engineering koz nzr kabisa kwa mazingira yetu ya TZ na afrika kwa ujumla wake najuta kwa nn niliikimbia na kufanya uhasibu wkt kwa sasa nagonga engineering pure
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom