Measuring cups into grams

teamasala

JF-Expert Member
Jul 1, 2017
600
607
Jamani naomba msaada kwemye kuconvert measuring cups into grams wakati wa utengenezajo wa keki au mkate.
 
Namaanisha kikombe kimoja cha kupimia uni sawa na gram ngapi labda za unga au sukari.
Jamani naomba msaada kwemye kuconvert measuring cups into grams wakati wa utengenezajo wa keki au mkate
 
Kwa hisani ya google
Screenshot_20201125_142920.jpg
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom