Haya kwa wale wanaolitukuza chata hili bila kuja maana yake.
View attachment 73013
View attachment 73015
View attachment 73013
View attachment 73015
Chochote kile unaweza kukitafsiri kwenda 666 kwa kadiri ya akili yako itakavyokutuma, tuifanye dunia iwe sehemu salama ya kuishi tusiwekane hofu
Chochote kile unaweza kukitafsiri kwenda 666 kwa kadiri ya akili yako itakavyokutuma, tuifanye dunia iwe sehemu salama ya kuishi tusiwekane hofu
siamini katika uchafu ulioweka hapo juu, ila wapo watu wenye akili na muono kama wako wataambatana nawe
Hebu Kimox Kimokole rejea RED hapo juu.
Uone kama wewe mwenyewe haujaambatana na mimi.