olele
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 1,303
- 1,559
hili swali nilikutana nalo nikafikiri ni rahisi tu kulijibu, lakini nikakuta si rahisi kama nilivyofikiri, MEANING OF LOVE,(usi-translate) kwanza nilifikiri ni hisia alafu nikaona kama ni kutoa sana , ua kupokea tu, or something about heart but mbona moyo kazi yake ni kusukuma damu, or in the brain au basi pengine ni kuwa na furaha lakini mbona saa nyingine kuna huzuni, au ni kujali, au ni sanaa, wengine wanasema ni kuvumilia au kuwa na amani,
nimeshindwa kupata jibu,
for God sake what the meaning of love?
nimeshindwa kupata jibu,
for God sake what the meaning of love?