Me nasumbuliwa na kimeo sana nakohoa nimekonda sjui nifanyeje naombeni ushauri hapa

Wataalamu wanasema hiyo ni mojawapo ya dalili kuu ya ngwengwe(TB). Usizembee, wahi hospitali ukachunguzwe na wataalamu. Kwa kuanzia tu, pima kwanza ngoma(HIV) maana wataalamu huwa wanasemaga ngwengwe na ngoma vina undugu fulani hivi wa karibu.

Hizo blah blah za kimeo ni uswahili mtupu, hazinaga ukweli. Ni fix fulani za waswahili katika kuunga unga tiba za kienyeji.
 
Jamaa yetu alikuwa na tatizo kama lako, tukamshauri apime kwanza ajue afya yake.
Sasa hivi yu bukheri wa afya huku akibugia minjingu kila leo.
 
Me nasumbuliwa na kimeo sana nakohoa nimekonda sjui nifanyeje naombeni ushauri hapa
Hiyo ni dalili ya ukosefu wa kinga mwilini mkuu wahi dozi halaka michango tumechoka ila kama itakuwa issue ya kimeo hapohapo kariakoo kuna mtaa ndio wahusika wa kukata vimeo na kutahiri sikumbuki ni mtaa gani ila ulizia ni maarufu sana.
 
Wataalamu wanasema hiyo ni mojawapo ya dalili kuu ya ngwengwe(TB). Usizembee, wahi hospitali ukachunguzwe na wataalamu. Kwa kuanzia tu, pima kwanza ngoma(HIV) maana wataalamu huwa wanasemaga ngwengwe na ngoma vina undugu fulani hivi wa karibu.
Kumbe ngwengwe ni TB?
 
Wataalamu wanasema hiyo ni mojawapo ya dalili kuu ya ngwengwe(TB). Usizembee, wahi hospitali ukachunguzwe na wataalamu. Kwa kuanzia tu, pima kwanza ngoma(HIV) maana wataalamu huwa wanasemaga ngwengwe na ngoma vina undugu fulani hivi wa karibu.

Hizo blah blah za kimeo ni uswahili mtupu, hazinaga ukweli. Ni fix fulani za waswahili katika kuunga unga tiba za kienyeji.
Wacha ujinga na utoto! Unakurupuka tu kuongea usoyajua, hii ni jf doctors, waachie wataalamu watoe ushauri
 
Wataalamu wanasema hiyo ni mojawapo ya dalili kuu ya ngwengwe(TB). Usizembee, wahi hospitali ukachunguzwe na wataalamu. Kwa kuanzia tu, pima kwanza ngoma(HIV) maana wataalamu huwa wanasemaga ngwengwe na ngoma vina undugu fulani hivi wa karibu.

Hizo blah blah za kimeo ni uswahili mtupu, hazinaga ukweli. Ni fix fulani za waswahili katika kuunga unga tiba za kienyeji.
Mimi nilikuwa na tatizo kama la mleta mada, nienda kukata mpaka sasa Nina miaka 7 toka nilipokata, na nimepona kabisa. muhimu ni kupima kisukar kama una kisukari huwez kukata, ni tiba nzur na haina gharama ila maumivu yake usiombe.
 
Back
Top Bottom