Mdudu kidudu mtu, hivi ni kweli anaelewa /sikia unachomuuliza?

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,795
Huyu mdudu ni mdudu asie na kichwa wala miguu wala macho na kiwiliwili chake kimeungana moja kwa moja hadi kwenye mkia,

Na kadri umbo lake linavyokuwa kubwa na mkia wake ndo huwa mwembamba kidogo ili kujua upande wa kichwa ni wapi (japo hakionekani)na upande wa mkia.

Huyu mdudu anapatikana sana kwenye mahindi makavu (yale ambayo hayajavunwa shambani)ukilimenya katika mahindi 3 hadi 4 lazma umkute na ukimuua ndani unakuta ana damu nyeupe kama maziwa fresh.

Huyu mdudu mtu ni maarufu na amepewa hilo jina maana ni muelewa sana kama ukimuuliza swali anakujibu kwa ishara maana ukimshikwa upande wa juu (kule kichwani)kidogo ukaacha mkia wake uwe na kaurefu fulani bila kumbana ukimuuliza swali,kaskazini ni wapi anageuzia mkia kaskazini,ukimuuliza magharibi ni wapi anageuzia huko mkia wake,hivi huyu mdudu ni kweli anauelewa wowote na mazingira au ni imani tuu tuliojijengea kwake.?
 
Hata humu JF of GT wamo vidudumtu wengi tu, kunapost moja juzi nilimjibu mtu humu kuwa yeye ni kidudumtu kutokana na maandiko yake dhidi ya wenzake.
Hayo ya kaskazini, Kusini wapi ni ya unyamwezini na usukumani tu.
 
Lakini hawafanani na huyu ninaemzungumzia hapa
 
Hata humu JF of GT wamo vidudumtu wengi tu, kunapost moja juzi nilimjibu mtu humu kuwa yeye ni kidudumtu kutokana na maandiko yake dhidi ya wenzake.
Hayo ya kaskazini, Kusini wapi ni ya unyamwezini na usukumani tu.
Kabisa mkuu...

Kuna watu humu ni wapuuzi mno...

Hata mimi yamenikuta!
 
Back
Top Bottom