MGOGO27
JF-Expert Member
- Jan 5, 2016
- 459
- 217
Karibuni dodoma,makao makuu ambayo inahamahama kutoka dar mpaka dodoma(kila siku ipo njiani)vikao vya bunge dodoma wafanyakazi wa bunge wote wanakuja dodoma na vikao vikiisha kamati zinakaliwaga dar na pia wafanyakazi wa bunge wote wanaenda dar(kwa hela za walipa kodi)sasa hayo wengi mnayajua lakini liko kubwa viongozi nalo ni CDA(WADUDU WA DAMPO)
Mwaka 1973 serikali ilipitisha azimio la kuboresha makao makuu ya NCHI yetu ya Tanzania,sasa ili kazi hiyo iwe na ufanisi mkubwa ndo wakaamua kuunda haka kamdudu kanaitwa CDA(Capital Development Authority)ili kusaidia kuupanga mji na kufanya ujengeke kisasa mfano wa Lagos ya Nigeria,kazi hiyo walikadilia ingefanywa kwa mwaka mmoja na wangemaliza sasa chakushangaza tangu mwaka 1973-2016 hiyo kazi hawajamaliza hawa jamaa na mwaka jana wamekopa hela bank ya CRDB kwaajili ya ukarabati wa ofisi zao
kazi za CDA
1.Kupima ardhi ya dodoma
2.Kuweka mpango bora wa matumizi ya ardhi
3.Kutenga maeneo ya makazi,viwanda,taasisi na yale ya wazi
4.Kupanda miti na kuondoa hali ya jangwa n.k
CDA wamekuwa ni madalali wa viwanja na kuongeza bei ya viwanja kila siku ,kupora wenyeji viwanja,kubomolea wenyeji viwanja na kuwapa viongozi wa serikali,wababe,jeuri sana hawa jamaa,pia leo walikuwa wanagawa viwanja 700 namba za wanunuzi ilipofikia 240's wakasema viwanja vimeisha na ukitaka ugombane na viongozi omba usaidizi kuhusu masuala ya CDA
Wako chini ya ofisi ya PM lakini pia wanatakiwa kusimamiwa na madiwani sasa bahati mbaya huku wenzenu tuko chini ya magamba wanamuogopa PM,hawa WADUDU WA DAMPO wanatukomesha sana ardhi yetu wanatunyanyasa na kututulaza macho hawa wateule wa raisi