Mdudu anaipekecha Nollywood?

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
katika miezi takribani saba wasanii wa Nollywood wenye majina makubwa wapatao zaidi ya kumi wameaga dunia...........................na wengi wanajiuliza ni kwa sababu zipi?

Yupo paster mmoja ambaye amedai ya kuwa ni wasanii wa Ghana ndiyo wanawaroga kwa sababu wameshindwa ushindani.........................jisomee makala hiyo yenye kichwa cha khabari.....................Nigerian Pastor: Ghanaian Actors Are Bewitching Nollywood Actors & Actresses And Killing Them. Lakini mitazamo ya pastor huyu inaimarishwa na kifo cha ajali ya gari kilichomkuta msanii mwingine maarufu.............Alasari..............jisomee
Nollywood Mourns Alasari

...................wapo wanaoamini ya kuwa ni vvu ndiyo inawashughulikia lakini kwa kuogopa kushtakiwa kwa kuwachafua majina na huku hawana ushahidi wa kitabibu basi wameishia kuzungumzi dallili zao waathirika hao kabla hawajafa........................jisomee makala hii inayozungumiza kifo cha msanii maarufu Ashley Nwosu...........Ashley Nwosu is Dead.....ya kuwa kabla hajafa alibadilika ngozi na kuwa nyeusi tiiiiiiiii na akiwa hospitalini alikolazwa alishindwa kula hadi ikabidi alishwe kwa mpira kupitia puani..............na nukuu yake halisi ni kama ifuatavyo............."Eye Witnesses said he has been in a critical condition. He could neither eat nor walk and was eventually looking darker than before. He's been fed by a tube inserted through his nose into his stomach.".................................ukweli unabakia ya kuwa kwa msanii mwenye jina kama Ashley Nwosu ainakuwaje kuwa na kigugumizi kuzungumzia kilichomtoa roho na waandishi wanabaki kutaja dalili za ugonjwa tu?

ashley-nwosu.png

Picture-152-e1312806089515-150x150.png

Sam Loco – Another Nollywood Actor Dies

Nollywood Mourns Alasari

Written by Adunola FasuyiSaturday, 26 March 2011

Nollywood is going through another sad period as popular producer cum actor, Ishola Durojaye, better known as Ahmed Alasari, died last Sunday following injuries he sustained in a car accident in company of four of his aides.

Nollywood Star, Madam Geraldine Ekeocha is dead

Geraldine-Ekeocha-460x383-300x249.jpg

Nigerian film industry has lost another Nollywood veteran, Mrs Geraldine Ekeocha. The actress died after a fibroid operation in a hospital in Enugu Nigeria. Geraldine Ekeocha has acted in over 80 Nollywood movies including Heavy storm, tears in Marriage and many more.

swali langu linabaki ya kuwa..........................is hiv behind these deaths or not?
 
Kwenye kifo cha Ms. Geraldine Ekeocha madaktari waligoma kuzungumzia kilichomuua pamja na nduguze kudai alikufa akiwa anafanyiowa operesheni ya kuondoa fibroid................. "Her death was announced by the Enugu chapter of the Actors' Guild of Nigeria (AGN). According to the AGN president Segun Arinze, the doctors have no clue as to what could have been the cause of death".

kwa habari jisomee.......................Nollywood mourns Geraldine
 
[h=2]Music Icon, Christy Uduak Essien-Igbokwe is dead[/h]
hapa napo chanzo cha kifo ni siri kubwa......................kama aya hii inavyojielezea......................."Nigeria's lady of songs Christy Uduak Essien-Igbokwe is dead details of how she died are yet unknown"

why is Nollywood ashamed of what is decimating their popular stars?
 
Kifo ni kigumu kukikubali, hata huyo pastor aliyesema kuwa hao wasanii wanalogwa na wasanii toka Ghana bado anataka kuleta ugomvi mkubwa baina ya wasanii hao. VVU very possible kutokana na tabia ya mastaa kushare mademu tena saa nyingine bila tahadhari. R.I.P all 10 Nigerian actors.
 
you are blessed Mzee wa Rula hoping to meet u very soon....................
 
katika miezi takribani saba wasanii wa Nollywood wenye majina makubwa wapatao zaidi ya kumi wameaga dunia...........................na wengi wanajiuliza ni kwa sababu zipi?

Yupo paster mmoja ambaye amedai ya kuwa ni wasanii wa Ghana ndiyo wanawaroga kwa sababu wameshindwa ushindani.........................jisomee makala hiyo yenye kichwa cha khabari.....................Nigerian Pastor: Ghanaian Actors Are Bewitching Nollywood Actors & Actresses And Killing Them. Lakini mitazamo ya pastor huyu inaimarishwa na kifo cha ajali ya gari kilichomkuta msanii mwingine maarufu.............Alasari..............jisomee
Nollywood Mourns Alasari

...................wapo wanaoamini ya kuwa ni vvu ndiyo inawashughulikia lakini kwa kuogopa kushtakiwa kwa kuwachafua majina na huku hawana ushahidi wa kitabibu basi wameishia kuzungumzi dallili zao waathirika hao kabla hawajafa........................jisomee makala hii inayozungumiza kifo cha msanii maarufu Ashley Nwosu...........Ashley Nwosu is Dead.....ya kuwa kabla hajafa alibadilika ngozi na kuwa nyeusi tiiiiiiiii na akiwa hospitalini alikolazwa alishindwa kula hadi ikabidi alishwe kwa mpira kupitia puani..............na nukuu yake halisi ni kama ifuatavyo............."Eye Witnesses said he has been in a critical condition. He could neither eat nor walk and was eventually looking darker than before. He's been fed by a tube inserted through his nose into his stomach.".................................ukweli unabakia ya kuwa kwa msanii mwenye jina kama Ashley Nwosu ainakuwaje kuwa na kigugumizi kuzungumzia kilichomtoa roho na waandishi wanabaki kutaja dalili za ugonjwa tu?

ashley-nwosu.png

Picture-152-e1312806089515-150x150.png

Sam Loco – Another Nollywood Actor Dies

Nollywood Mourns Alasari

Written by Adunola FasuyiSaturday, 26 March 2011

Nollywood is going through another sad period as popular producer cum actor, Ishola Durojaye, better known as Ahmed Alasari, died last Sunday following injuries he sustained in a car accident in company of four of his aides.

Nollywood Star, Madam Geraldine Ekeocha is dead

Geraldine-Ekeocha-460x383-300x249.jpg

Nigerian film industry has lost another Nollywood veteran, Mrs Geraldine Ekeocha. The actress died after a fibroid operation in a hospital in Enugu Nigeria. Geraldine Ekeocha has acted in over 80 Nollywood movies including Heavy storm, tears in Marriage and many more.

swali langu linabaki ya kuwa..........................is hiv behind these deaths or not?
mzee Ashley na Sam loco nilikuwa nawapenda sna, mwe RIP WAPEDWA WETU.
 
Mhhhhh! Inatisha!....More money more problems

success always breeds its own set of challenges...................if not prepared one is likely to be doomed forever and evermore......
 
mzee Ashley na Sam loco nilikuwa nawapenda sna, mwe RIP WAPEDWA WETU.

Tollywood nao wajiandae kuzika wafu wao...........................kwa sababu wanakwenda mkichwa-mkichwa tu.......kuiga hata aibu zao.........
 
Back
Top Bottom