Mdude Nyangali(CHADEMA) Kuletwa Dar kwa Kosa la Kimtandao

  • Thread starter Mwanahabari Huru
  • Start date

Mwanahabari Huru

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Messages
13,540
Likes
27,588
Points
280
Age
48
Mwanahabari Huru

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2015
13,540 27,588 280
chadema-jpg.623850

Tumepata taarifa muda mfupi uliopita kuwa, ndugu yetu, kamanda mwenzetu na mpiganaji mwenzetu, *Mdude Nyangali Chadema* ambaye amekuwa akishikiliwa na Jeshi la Polisi, Vwawa, Mbozi, mkoani Songwe tangu Jumatano ya wiki hii, amesafirishwa kupelekwa Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo.

Hadi jana jioni polisi mkoani Songwe, kupitia kwa RCO walikuwa wamekataa kumpatia dhamana na kwa kauli aliyonukuliwa, RCO alisema kuwa hawatamwachia wala kumpeleka mahali popote, ikiwemo mahakamani, hadi atakapokubali kuandikisha maelezo polisi.

Tangu siku aliyokamatwa Jumatano majira ya saa nne asubuhi, kwa kufuatwa na askari polisi akiwa ofisini kwake hapo Vwawa, hakukuwa na maelezo yaliyonyooka kutoka kwa polisi kuhusu tuhuma zinazomkabili kiasi cha polisi kumkata, kumhoji na kumshikilia siku zote hizi.

Wakati akikamatwa kulikuwa na maelezo pengine yasiyokuwa rasmi kutoka kwa mmoja wa polisi wake kuwa amekamatwa na atasafirishwa kwenda mahali pengine (mkoa mwingine) ambako inadaiwa kuwa amefanya hilo kosa analotuhumiwa nalo.

Alipofikishwa Kituo cha Polisi Vwawa, akaambiwa kuwa amekamatwa na atahojiwa kwa ajili ya kuunganishwa kwenye kesi inayohusu vurugu zilizotokea wakati wa uchaguzi wa Mwenyekiti wa Mji Mdogo wa Mlowo, kesi hiyo tayari iko mahakamani ambayo pia Mbunge wa Jimbo la Mbozi, Pascal Haonga (CHADEMA) anashtakiwa.

Siku hiyo ya Jumatano Mdude alitumia haki yake ya kisheria ya kutaja anuani yake tu hapo polisi na kuwaambia polisi maelezo mengine yuko tayari kuyatoa mahakamani si hapo kituoni.

Polisi walikataa kumwachia kwa dhamana wakisema kuwa atafikishwa mahakamani siku inayofuata ambayo ilikuwa Alhamis. Hawakufanya hivyo bila sababu yoyote ile ya msingi. Jana Ijumaa ndiyo wakatoa hiyo sababu kwamba lazima akubali kuandikisha maelezo vinginevyo hawatamwachia.

Asubuhi ya leo wakati makamanda wetu wamefika kituoni kwa ajili ya kumpelekea chakula, wamekuta taarifa hizo kuwa hayupo kasafirishwa kupelekwa Dar es Salaam.

Hadi sasa haijaeleweka kwanini polisi wanamshikilia Mdude siku zote hizo bila kumwachia kwa dhamana au kumfikisha mahakamani. Na bado hawajasema kosa alilofanya kiasi cha kusafirishwa kupelekwa Dar es Salaam.

Chama kinafuatilia suala hili. Tayari mawakili wanalifanyia kazi, ikiwa ni mwendelezo wa hatua za kisheria zilizoanza kuchukuliwa tangu juzi hasa kwa ajili ya kuwataka polisi wamfikishe mahakamani Mdude Nyangali Chadema ama wamwachie.

Itakumbukwa kuwa hii sasa ni mara ya pili mpiganaji mwenzetu Mdude Nyangali Chadema anakamatwa na kushikiliwa na jeshi hilo na kusafirishwa kupelekwa Dar es Salaam. Mara ya kwanza alikamatwa na kushikiliwa kwa muda mrefu bila kufikishwa mahakamani pamoja na makamanda wengine hadi Mwanasheria Mkuu wa Chama, Tundu Lissu aliposimamia suala lao ndipo wakajulikana wako kituo gani na baadae wakarudishwa kwenda kushtakiwa katika maeneo yao, ambapo Mdudr alishinda kesi hiyo ya makosa ya mtandaoni aliyofunguliwa dhidi yake.

Kwa taarifa hii pia tutoe wito kwa makamanda wa Dar es Salaam ambako Mdude analetwa, tuoneshe ushirikiano na undugu wetu kwa mwenzetu kama tulivyofanya last time kwake na wale wenzake lakini kama ambavyo tunalazimika kufanya kwa makamanda wenzetu wengine ambao wanajikuta katika hali kama aliyonayo Mdude.

Wakati Chama kupitia kwa wanasheria kinalifuatilia na kulifanyia kazi suala hili kwa uzito mkubwa kwa hatua za kisheria, sisi wengine pia tumsaidie kwa namna iliyoko ndani ya uwezo wetu.

Mdude amekuwa mmoja wa wapiganaji mahiri wanaotumia haki yao ya uhuru wa maoni kuikosoa na kuishauri Serikali ya Rais John Magufuli kupitia maandishi. Hivyo basi, tumuunge mkono, kwanza kwa kupiga kelele dhidi ya manyanyaso anayopewa ya kukamatwa na kushikiliwa kinyume cha sheria hadi dunia nzima ijue kuwa Mdude ni ishara ya kwamba Serikali hii imeamua kukandamiza uhuru wa maoni.

Tupige kelele dhidi ya udhalimu wa namna hii anaofanyiwa Mdude na watu wengine. Lakini pia tusichoke kutimiza wajibu wetu wa kikatiba na kisheria, kuwakosoa na kuwashauri watawala wa serikali hii hadi waelewe kuwa nchi hii ni ya Watanzania wote na wao wana dhamana tu ya kuongoza. Wananchi ndiyo wanayo mamlaka ya mwisho. Hivyo kama hawaridhiki na mwenendo wa Serikali au Rais au viongozi fulani fulani, na hivyo kuathiri hali yetu kama nchi kisiasa na kiuchumi, wananchi wanayo haki ya kusema na LAZIMA wasikilizwe.

Tutaendelea kuwapatia taarifa juu ya suala hili. Asanteni.

Tumaini Makene
 
mbere

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Messages
6,694
Likes
5,548
Points
280
mbere

mbere

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2015
6,694 5,548 280
Pichiemu bwana
 
pureView Zeiss

pureView Zeiss

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Messages
1,652
Likes
4,002
Points
280
pureView Zeiss

pureView Zeiss

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2016
1,652 4,002 280
Ni kama ameletwa dar ili afurahie honeymoon hamna jipya kwenye hiyo kesi
 
cocochanel

cocochanel

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2007
Messages
21,607
Likes
63,411
Points
280
cocochanel

cocochanel

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2007
21,607 63,411 280
Kama anamakosa sawa tu..

Tatizo mnaandika maneno mengiiiiii hadi ya muhimu mtakuwa mnayafukia humo humo na watu uvivu wa kusoma ukawemo.

Mnajua mmechokwa ndio maana now mnajazia kila kitu kwenye kitu cha uhalifu tena.. no huruma kwenu.. hizo ni zama za kale.
 
rr3

rr3

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Messages
2,145
Likes
1,863
Points
280
Age
40
rr3

rr3

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2015
2,145 1,863 280
In the belly of the beast: The Gestapo – Power and Terror in the Third Reich

image.jpg

Third Reich: Heinrich Himmler, head of the Gestapo, stands next to Hitler to watch a parade of Nazi storm troopers in 1940. Photograph: CIA/Reuters

  • For the victims of Nazi terror the experience of arrest was often similar: it began with a heavy knock on the door in the early morning hours. Plain-clothes policemen would then drive the “suspects” to an unknown destination where they were usually interrogated under torture. If found guilty of whatever “crime” they had been charged with, they would either be executed or sent to a concentration camp.

    The organisation responsible for these kinds of actions requires little introduction. To this day the Gestapo (or Geheime Staatspolizei) is known throughout the world as Hitler’s much-feared political police force, an organisation synonymous with the regime’s terror against those perceived as its mortal enemies: socialists, communists, Jews, homosexuals, Gypsies and “habitual criminals”. Between 1933 and 1945 tens of thousands of these “enemies of the Reich” were arrested, tortured and often murdered. Most of those who were sent to concentration camps were never seen again.

M

MIGNON

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Messages
2,833
Likes
1,958
Points
280
M

MIGNON

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2009
2,833 1,958 280
View attachment 623850

Tumepata taarifa muda mfupi uliopita kuwa, ndugu yetu, kamanda mwenzetu na mpiganaji mwenzetu, *Mdude Nyangali Chadema* ambaye amekuwa akishikiliwa na Jeshi la Polisi, Vwawa, Mbozi, mkoani Songwe tangu Jumatano ya wiki hii, amesafirishwa kupelekwa Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo.

Hadi jana jioni polisi mkoani Songwe, kupitia kwa RCO walikuwa wamekataa kumpatia dhamana na kwa kauli aliyonukuliwa, RCO alisema kuwa hawatamwachia wala kumpeleka mahali popote, ikiwemo mahakamani, hadi atakapokubali kuandikisha maelezo polisi.

Tangu siku aliyokamatwa Jumatano majira ya saa nne asubuhi, kwa kufuatwa na askari polisi akiwa ofisini kwake hapo Vwawa, hakukuwa na maelezo yaliyonyooka kutoka kwa polisi kuhusu tuhuma zinazomkabili kiasi cha polisi kumkata, kumhoji na kumshikilia siku zote hizi.

Wakati akikamatwa kulikuwa na maelezo pengine yasiyokuwa rasmi kutoka kwa mmoja wa polisi wake kuwa amekamatwa na atasafirishwa kwenda mahali pengine (mkoa mwingine) ambako inadaiwa kuwa amefanya hilo kosa analotuhumiwa nalo.

Alipofikishwa Kituo cha Polisi Vwawa, akaambiwa kuwa amekamatwa na atahojiwa kwa ajili ya kuunganishwa kwenye kesi inayohusu vurugu zilizotokea wakati wa uchaguzi wa Mwenyekiti wa Mji Mdogo wa Mlowo, kesi hiyo tayari iko mahakamani ambayo pia Mbunge wa Jimbo la Mbozi, Pascal Haonga (CHADEMA) anashtakiwa.

Siku hiyo ya Jumatano Mdude alitumia haki yake ya kisheria ya kutaja anuani yake tu hapo polisi na kuwaambia polisi maelezo mengine yuko tayari kuyatoa mahakamani si hapo kituoni.

Polisi walikataa kumwachia kwa dhamana wakisema kuwa atafikishwa mahakamani siku inayofuata ambayo ilikuwa Alhamis. Hawakufanya hivyo bila sababu yoyote ile ya msingi. Jana Ijumaa ndiyo wakatoa hiyo sababu kwamba lazima akubali kuandikisha maelezo vinginevyo hawatamwachia.

Asubuhi ya leo wakati makamanda wetu wamefika kituoni kwa ajili ya kumpelekea chakula, wamekuta taarifa hizo kuwa hayupo kasafirishwa kupelekwa Dar es Salaam.

Hadi sasa haijaeleweka kwanini polisi wanamshikilia Mdude siku zote hizo bila kumwachia kwa dhamana au kumfikisha mahakamani. Na bado hawajasema kosa alilofanya kiasi cha kusafirishwa kupelekwa Dar es Salaam.

Chama kinafuatilia suala hili. Tayari mawakili wanalifanyia kazi, ikiwa ni mwendelezo wa hatua za kisheria zilizoanza kuchukuliwa tangu juzi hasa kwa ajili ya kuwataka polisi wamfikishe mahakamani Mdude Nyangali Chadema ama wamwachie.

Itakumbukwa kuwa hii sasa ni mara ya pili mpiganaji mwenzetu Mdude Nyangali Chadema anakamatwa na kushikiliwa na jeshi hilo na kusafirishwa kupelekwa Dar es Salaam. Mara ya kwanza alikamatwa na kushikiliwa kwa muda mrefu bila kufikishwa mahakamani pamoja na makamanda wengine hadi Mwanasheria Mkuu wa Chama, Tundu Lissu aliposimamia suala lao ndipo wakajulikana wako kituo gani na baadae wakarudishwa kwenda kushtakiwa katika maeneo yao, ambapo Mdudr alishinda kesi hiyo ya makosa ya mtandaoni aliyofunguliwa dhidi yake.

Kwa taarifa hii pia tutoe wito kwa makamanda wa Dar es Salaam ambako Mdude analetwa, tuoneshe ushirikiano na undugu wetu kwa mwenzetu kama tulivyofanya last time kwake na wale wenzake lakini kama ambavyo tunalazimika kufanya kwa makamanda wenzetu wengine ambao wanajikuta katika hali kama aliyonayo Mdude.

Wakati Chama kupitia kwa wanasheria kinalifuatilia na kulifanyia kazi suala hili kwa uzito mkubwa kwa hatua za kisheria, sisi wengine pia tumsaidie kwa namna iliyoko ndani ya uwezo wetu.

Mdude amekuwa mmoja wa wapiganaji mahiri wanaotumia haki yao ya uhuru wa maoni kuikosoa na kuishauri Serikali ya Rais John Magufuli kupitia maandishi. Hivyo basi, tumuunge mkono, kwanza kwa kupiga kelele dhidi ya manyanyaso anayopewa ya kukamatwa na kushikiliwa kinyume cha sheria hadi dunia nzima ijue kuwa Mdude ni ishara ya kwamba Serikali hii imeamua kukandamiza uhuru wa maoni.

Tupige kelele dhidi ya udhalimu wa namna hii anaofanyiwa Mdude na watu wengine. Lakini pia tusichoke kutimiza wajibu wetu wa kikatiba na kisheria, kuwakosoa na kuwashauri watawala wa serikali hii hadi waelewe kuwa nchi hii ni ya Watanzania wote na wao wana dhamana tu ya kuongoza. Wananchi ndiyo wanayo mamlaka ya mwisho. Hivyo kama hawaridhiki na mwenendo wa Serikali au Rais au viongozi fulani fulani, na hivyo kuathiri hali yetu kama nchi kisiasa na kiuchumi, wananchi wanayo haki ya kusema na LAZIMA wasikilizwe.

Tutaendelea kuwapatia taarifa juu ya suala hili. Asanteni.

Tumaini Makene
Kuna wakati nguvu zinaniishia na nabaki kumwachia Mungu!!
Tangu jana niliposoma gazeti la mwananchi na kukutana na kesi ya bilionea Msuya na jinsi binadamu alivyoteswa,nguvu zinaniishia kwa jeshi la Polisi.
Kuua ni dhambi lakini naamini Polisi kuna wakati inabidi muue ili mtu asibaki kusimulia.
Kuhitaji wakili ndipo niandike maelezo ni kosa kiasi cha kushikiliwa kwa muda wote huo?
Kwa nini lakini??
 
The Valiant

The Valiant

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2017
Messages
2,796
Likes
3,861
Points
280
The Valiant

The Valiant

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2017
2,796 3,861 280
Mnajua mmechokwa ndio maana now mnajazia kila kitu kwenye kitu cha uhalifu tena.. no huruma kwenu.. hizo ni zama za kale.
labda wewe ndio umeichoka chadema ..ambayo hujawahi kuipenda.BTW we dumejke hujasgulwa vzr na Pogba?
 
yomboo

yomboo

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2015
Messages
5,410
Likes
3,719
Points
280
yomboo

yomboo

JF-Expert Member
Joined May 9, 2015
5,410 3,719 280
Kama anamakosa sawa tu..

Tatizo mnaandika maneno mengiiiiii hadi ya muhimu mtakuwa mnayafukia humo humo na watu uvivu wa kusoma ukawemo.

Mnajua mmechokwa ndio maana now mnajazia kila kitu kwenye kitu cha uhalifu tena.. no huruma kwenu.. hizo ni zama za kale.
Kama kawa debe tupu
 
P

Pythagoras

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Messages
3,996
Likes
3,252
Points
280
P

Pythagoras

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2015
3,996 3,252 280
Walaaniwe wanaoshiriki kwa namna yoyoote udhalimu huu
View attachment 623850

Tumepata taarifa muda mfupi uliopita kuwa, ndugu yetu, kamanda mwenzetu na mpiganaji mwenzetu, *Mdude Nyangali Chadema* ambaye amekuwa akishikiliwa na Jeshi la Polisi, Vwawa, Mbozi, mkoani Songwe tangu Jumatano ya wiki hii, amesafirishwa kupelekwa Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo.

Hadi jana jioni polisi mkoani Songwe, kupitia kwa RCO walikuwa wamekataa kumpatia dhamana na kwa kauli aliyonukuliwa, RCO alisema kuwa hawatamwachia wala kumpeleka mahali popote, ikiwemo mahakamani, hadi atakapokubali kuandikisha maelezo polisi.

Tangu siku aliyokamatwa Jumatano majira ya saa nne asubuhi, kwa kufuatwa na askari polisi akiwa ofisini kwake hapo Vwawa, hakukuwa na maelezo yaliyonyooka kutoka kwa polisi kuhusu tuhuma zinazomkabili kiasi cha polisi kumkata, kumhoji na kumshikilia siku zote hizi.

Wakati akikamatwa kulikuwa na maelezo pengine yasiyokuwa rasmi kutoka kwa mmoja wa polisi wake kuwa amekamatwa na atasafirishwa kwenda mahali pengine (mkoa mwingine) ambako inadaiwa kuwa amefanya hilo kosa analotuhumiwa nalo.

Alipofikishwa Kituo cha Polisi Vwawa, akaambiwa kuwa amekamatwa na atahojiwa kwa ajili ya kuunganishwa kwenye kesi inayohusu vurugu zilizotokea wakati wa uchaguzi wa Mwenyekiti wa Mji Mdogo wa Mlowo, kesi hiyo tayari iko mahakamani ambayo pia Mbunge wa Jimbo la Mbozi, Pascal Haonga (CHADEMA) anashtakiwa.

Siku hiyo ya Jumatano Mdude alitumia haki yake ya kisheria ya kutaja anuani yake tu hapo polisi na kuwaambia polisi maelezo mengine yuko tayari kuyatoa mahakamani si hapo kituoni.

Polisi walikataa kumwachia kwa dhamana wakisema kuwa atafikishwa mahakamani siku inayofuata ambayo ilikuwa Alhamis. Hawakufanya hivyo bila sababu yoyote ile ya msingi. Jana Ijumaa ndiyo wakatoa hiyo sababu kwamba lazima akubali kuandikisha maelezo vinginevyo hawatamwachia.

Asubuhi ya leo wakati makamanda wetu wamefika kituoni kwa ajili ya kumpelekea chakula, wamekuta taarifa hizo kuwa hayupo kasafirishwa kupelekwa Dar es Salaam.

Hadi sasa haijaeleweka kwanini polisi wanamshikilia Mdude siku zote hizo bila kumwachia kwa dhamana au kumfikisha mahakamani. Na bado hawajasema kosa alilofanya kiasi cha kusafirishwa kupelekwa Dar es Salaam.

Chama kinafuatilia suala hili. Tayari mawakili wanalifanyia kazi, ikiwa ni mwendelezo wa hatua za kisheria zilizoanza kuchukuliwa tangu juzi hasa kwa ajili ya kuwataka polisi wamfikishe mahakamani Mdude Nyangali Chadema ama wamwachie.

Itakumbukwa kuwa hii sasa ni mara ya pili mpiganaji mwenzetu Mdude Nyangali Chadema anakamatwa na kushikiliwa na jeshi hilo na kusafirishwa kupelekwa Dar es Salaam. Mara ya kwanza alikamatwa na kushikiliwa kwa muda mrefu bila kufikishwa mahakamani pamoja na makamanda wengine hadi Mwanasheria Mkuu wa Chama, Tundu Lissu aliposimamia suala lao ndipo wakajulikana wako kituo gani na baadae wakarudishwa kwenda kushtakiwa katika maeneo yao, ambapo Mdudr alishinda kesi hiyo ya makosa ya mtandaoni aliyofunguliwa dhidi yake.

Kwa taarifa hii pia tutoe wito kwa makamanda wa Dar es Salaam ambako Mdude analetwa, tuoneshe ushirikiano na undugu wetu kwa mwenzetu kama tulivyofanya last time kwake na wale wenzake lakini kama ambavyo tunalazimika kufanya kwa makamanda wenzetu wengine ambao wanajikuta katika hali kama aliyonayo Mdude.

Wakati Chama kupitia kwa wanasheria kinalifuatilia na kulifanyia kazi suala hili kwa uzito mkubwa kwa hatua za kisheria, sisi wengine pia tumsaidie kwa namna iliyoko ndani ya uwezo wetu.

Mdude amekuwa mmoja wa wapiganaji mahiri wanaotumia haki yao ya uhuru wa maoni kuikosoa na kuishauri Serikali ya Rais John Magufuli kupitia maandishi. Hivyo basi, tumuunge mkono, kwanza kwa kupiga kelele dhidi ya manyanyaso anayopewa ya kukamatwa na kushikiliwa kinyume cha sheria hadi dunia nzima ijue kuwa Mdude ni ishara ya kwamba Serikali hii imeamua kukandamiza uhuru wa maoni.

Tupige kelele dhidi ya udhalimu wa namna hii anaofanyiwa Mdude na watu wengine. Lakini pia tusichoke kutimiza wajibu wetu wa kikatiba na kisheria, kuwakosoa na kuwashauri watawala wa serikali hii hadi waelewe kuwa nchi hii ni ya Watanzania wote na wao wana dhamana tu ya kuongoza. Wananchi ndiyo wanayo mamlaka ya mwisho. Hivyo kama hawaridhiki na mwenendo wa Serikali au Rais au viongozi fulani fulani, na hivyo kuathiri hali yetu kama nchi kisiasa na kiuchumi, wananchi wanayo haki ya kusema na LAZIMA wasikilizwe.

Tutaendelea kuwapatia taarifa juu ya suala hili. Asanteni.

Tumaini Makene
 
Lobapula

Lobapula

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2011
Messages
2,301
Likes
1,449
Points
280
Lobapula

Lobapula

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2011
2,301 1,449 280
Nendeni central mkajazane kwa wingi
 
Lobapula

Lobapula

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2011
Messages
2,301
Likes
1,449
Points
280
Lobapula

Lobapula

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2011
2,301 1,449 280
hivi Chadema huwa wanapigania nini maana wanaitana tu wapiganaji lakini hicho wanachokipigania hakionekani.
Wanampigania Joyce Mukya awe viti maalum
 
T

treborx

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
4,517
Likes
2,079
Points
280
T

treborx

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
4,517 2,079 280
Kama anamakosa sawa tu..

Tatizo mnaandika maneno mengiiiiii hadi ya muhimu mtakuwa mnayafukia humo humo na watu uvivu wa kusoma ukawemo.

Mnajua mmechokwa ndio maana now mnajazia kila kitu kwenye kitu cha uhalifu tena.. no huruma kwenu.. hizo ni zama za kale.
You have to have mercy. Una hakika wewe unayoyaandika humu huwa yanamfurahisha kila mtu??
 
natoka hapa

natoka hapa

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Messages
7,109
Likes
9,634
Points
280
natoka hapa

natoka hapa

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2014
7,109 9,634 280
Safi sana. Sheria ichukue mkondo
Kodi zetu zinapotea kwa mambo ya kijinga mkuu.

Kuna mijitu inakamatwa kwa makosa makubwa mwisho wa siku inaachiwa kwa sababu eti DPP hana nia ya kuendelea na kesi ilihali imekula mali za umma.

Kukamata watu wa chama pinzani kwa vitu vya kijinga ni kutuongezea umaskini tu.

Magufuli hajui hata bei ya kilo ya mchele anatumia pesa zetu hovyo sisi ndo tunakesha kuzisaka.

Inauma sana kuona kuna baadhi ya watanzania mnaunga mkono mambo ya kijinga namna hii.
Mtu kamatwa Songwe anapelekwa Dar kwa kesi ya kitoto na utasikia kaachiwa hizo zote ni pesa za kodi zetu.
 
Forum statistics

Threads 1,238,733
Members 476,123
Posts 29,328,331