Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,600
- 218,003
Unaambiwa siasa za awamu hii ni zile siasa ngumu kabisa , ni siasa za vitendo zaidi badala ya maneno , ni siasa za jasho na damu .
Wanatakiwa Vijana shupavu wasioogopa kuuawa .
Hizo habari za Mtukufu Jaffo hazipo hukuVipi, hajakosea kuijaza au chama kiliandaa wanasheria wa kusaidia kujaza kama chama letu lilivyowasaidia wagombea wao uchaguzi wa vijiji!
Tunasubiria kuona mwelekeo wa CHADEMA...Mzee Mwanakijiji nakuona online tunaomba maoni yako
Wapiga kura wataamuaMdude Nyangali hawezi kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Kuna vitengo vinamfaa but si uenyekiti. So kuchukua form ni haki yake kikatiba ila kuwa mwenyekiti ni Busara /hekima inayomkataa.
Ile mipango ya yule mwenye mdomo kama sifuri huku kwetu hamna.Vipi, hajakosea kuijaza au chama kiliandaa wanasheria wa kusaidia kujaza kama chama letu lilivyowasaidia wagombea wao uchaguzi wa vijiji!
Wapiga kura wataamua
Huyo hafai kuwa Mwenyekiti wa Chadema, kwanza hayuko sawa kisaikolojia.
Mwenyekiti anafaa kuwa mtu mwenye subira, busara na uvumilivu sio mropokaji kama huyo.
Huyu unayemtukana hapa ni ofisa wa chama kanda ya Nyasa , kama mlitaka siasa za kistaarabu kwanini Heri James hamumuonyi , Bashiru uchafu anaouropoka kule Zanzibar ndio ustaarabu ule ?Siku ambayo mdude anakuwa mwenyekiti chadema wenye akili wote wanajiondoa au kuhama chama.muwe serious na chama nyie CDM hivi mnadhani every tom,dick and harry anaweza kuwa mwenyekiti wa chama ?kama ni kikundi cha wana harakati sawa.mdude huyu ambaye anakosa hata busara ya kujua aandike nini kuwasilisha mawazo mazuri leo mnataka awe mwenyekiti?kuweni serious kidogo.
Kwani yukoje mkuu..!? Au anatakiwa mwenyekiti dingi? Mi naona sio mbaya vijana kama yeye kutjitokeza na angalau anaweka historia na anajiongezea CV pia!Sijui kama watakuelewa.maana wanaanza kuwa kama mazezeta.ni aibu mdude kuwa mwenyekiti wa chadema.aibu kubwa sana.hakupaswa hata kufikiriwa. Ingawa ni haki yake kikatiba
Mdude Nyangali hawezi kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Kuna vitengo vinamfaa but si uenyekiti. So kuchukua form ni haki yake kikatiba ila kuwa mwenyekiti ni Busara /hekima inayomkataa.