Mdude Nyangali arejesha fomu ya kuomba Uenyekiti wa Taifa BAVICHA

Kupambana na hii CCM ambayo sasa hivi inaongozwa na Vichaa (kama alivyotamka Mwenyekiti Taifa), kunahitajika watu ambao wanaweza muda fulani kubadilika na kujifanya nao ni vichaa pia.
Well said mkuu, Jiwe kashajipambanua kwa maneno yake mwenyewe kwamba yeye n kichaa, inabidi upinzani nao wapate viongozi vichaa zaidi yake ili mtanange uwe sawa, siasa za ustarabu ilikua kipind cha Jk
 
Siku ambayo mdude anakuwa mwenyekiti chadema wenye akili wote wanajiondoa au kuhama chama.muwe serious na chama nyie CDM hivi mnadhani every tom,dick and harry anaweza kuwa mwenyekiti wa chama ?kama ni kikundi cha wana harakati sawa.mdude huyu ambaye anakosa hata busara ya kujua aandike nini kuwasilisha mawazo mazuri leo mnataka awe mwenyekiti?kuweni serious kidogo.
. Anagombania uenyekiti wa baraza la vijana chadema taifa, na sio uenyekiti wa chadema taifa.
 
Mkuu mbona povu sana! jiwe anatumia hela za Nchi kuua upinzani huoni Mdude akirahisisha kazi?
Siku ambayo mdude anakuwa mwenyekiti chadema wenye akili wote wanajiondoa au kuhama chama.muwe serious na chama nyie CDM hivi mnadhani every tom,dick and harry anaweza kuwa mwenyekiti wa chama ?kama ni kikundi cha wana harakati sawa.mdude huyu ambaye anakosa hata busara ya kujua aandike nini kuwasilisha mawazo mazuri leo mnataka awe mwenyekiti?kuweni serious kidogo.
 
Ben saanane alikuwa msaidizi wa Mbowe kwenye risala pamoja na mambo ya kiuchumi. Hadi anapotea alikuwa personal assistant wa Mbowe

..kama anao wasaidizi / washauri sidhani kama wanamsaidia.

..mara nyingi Mbowe anaonekana kuzungumza kwa kutumia uzoefu tu, na hatoi hoja zinazoonekana kuwa zimeandaliwa na wataalam.
 
Mdude Nyangali hawezi kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Kuna vitengo vinamfaa but si uenyekiti. So kuchukua form ni haki yake kikatiba ila kuwa mwenyekiti ni Busara /hekima inayomkataa.
M/kiti bavicha
 
He is not fit for the position, sidhani kama kichwa chake ni rafiki kwa hiyo nafasi.. Ni jasiri lakini hana akili ya kuwa kiongozi.
 
Mdude Nyangali hawezi kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Kuna vitengo vinamfaa but si uenyekiti. So kuchukua form ni haki yake kikatiba ila kuwa mwenyekiti ni Busara /hekima inayomkataa.
Huyo jamaa ni wa kuchunguzwa kabla ya kumchagua kuwa kiongozi hawezi kutekwa akaachiwa bila masharti ya kutekeleza.
 
Kama wataacha kujuana na makundi Basi Mwenyekiti anefaa BAVICHA ni Mh John Justine Pambalu
 
Back
Top Bottom