Mdude Nyagali: Kati ya mashahidi nane kesi ya Mbowe nimewatambua ni wale walioniteka na kunitesa

Kama umewatMbua si ufungue kesi?

..Mdude alifungua kesi tangu wakati Magufuli hajafariki.

..alikuwa akilalamika kwamba Tume ya Haki za Binaadamu walikuwa hawampi ushirikiano.

..Na kesi yake ilipangwa kusikilizwa kabla Polisi hawajamkamata na kumfungulia kesi ya madawa ya kulevya.

..Sasa haieleweki kama alivyotoka ameifuatilia kesi yake na imefikia wapi.
 
Nilishuhudia mtu akipigwa na askari jeshi ndani ya ofisi ya serikali, alipofariki muuaji alilindwa.
 
PolisiTz wanalindana sana.

..hilo nakubaliana na wewe 100%.

..usipowakamata red handed kama ktk tukio la kumlipua Daudi Mwangosi ni vigumu sana kupata haki.

..kulifanyika jitihada za kuwasingizia Chadema kumlipua Mwangosi bahati nzuri kulikuwa na mpiga picha aliyenasa tukio zima.
 
Kesi ya mzee Mbowe inafichua vitu vingi sana ambavyo vilikuwa gizani, Mpaka Sasa katika watu 8 waliotoa ushahidi nimeshawatambua watu wawili walihusika na mateso dhidi yangu.Naendelea kuwakariri vizuri sura na majina yao na nitaendelea kuhudhuria mahakamani ili niwatambue wengineView attachment 2021234
Hata sisi watanzania tumetambua kumbe hatuna mahakama ni genge la watu waliojaza madegree vichwani wasio na sifa hata moja.
 
Yaani hawa watu wakifuatiliwa vizuri watakuwa ni miongoni mwa wale watesaji na wauaji kisha kuitia miili kwenye viroba.
Ukweli utajulikana tu. Kumbuka CIA ilimtaja Makonda angalau ilitumia lugha ya staha kuwa Makonda alihusika kuhujumi haki ya kuishi ya watanzania wakataka Marekani impige stop asikanyaje USA hadi anakufa.

Maana yake ni nini? Ule ulikuwa ujumbe kwa Jiwe
 
Back
Top Bottom