Mdude karudi je ukweli tutaukubali?

bichwa mtoto

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
274
563
Nimefurahi kusikia mtanzania mwenzetu kijana mwenzetu akiwa amepatikana akiwa hai ingawa akiwa amejeruhiwa sehemu mbalimbali za mwili wake.Na kusema ukweli nilikuwa miongoni mwa watu niliokuwa namuombea sana apatikane akiwa hai au kama ingetokea kwa bahati mbaya hata mwili wake upatikane ili ndugu zake wangeweza kumstiri mahali safi.Ingawa bado hajasema ni kina nani walikuwa wamemteka.
Swali langu ni kuwa endapo atakapo sema ukweli wa mambo je upande wowote kati ya chadema au serikali utakubali kuwajibika.
Kama mnavyo jua uenyekiti wa Mh mbowe ni moja wapo ya mgogoro wa ndani kwa ndani chadema na ikibainika kuwa ndugu mdude alikuwa ni miongini mwa wanaompinga mbowe na hivyo watekaji walikuwa na lengo la kujua ni nani ndani ya chadema anamtumia huyu mdude kuvuruga uenyekiti wake je? Wapinzani wataukubali ukweli huo au watakuja na uongo gani mwingine?.
 
Wakati anasema walikuwepo viongozi wake hivyo hakuna wa kupindisha. Na kwa taarifa yako hakuna mtu smart wa kupanga mission ya kuwachafua viongozi wake ikapata mafanikio maana wengi wanategemea mawazo ya Bashite. Kama mlishindwa kumsingizia Abdul Nondo ndo mtamuweza Mdude? Andiko lako linadhihirisha nia yenu ya kipuuzi ambayo mmeifanya chaguo la pili baada ya lile la kwanza la kumpoteza kushindikana baada ya kelele za ndani na nje.
 
Kwahiyo mdude anataka kugombea uenyekiti?
 
Hivi huwa mnatumia biriani kufikiri au nini. Yani serikali imteke mtu afu iweje. Hata bodaboda tu inaweza kutumika acheni uzembe wa kufikiri.
Wakati anasema walikuwepo viongozi wake hivyo hakuna wa kupindisha. Na kwa taarifa yako hakuna mtu smart wa kupanga mission ya kuwachafua viongozi wake ikapata mafanikio maana wengi wanategemea mawazo ya Bashite. Kama mlishindwa kumsingizia Abdul Nondo ndo mtamuweza Mdude? Andiko lako linadhihirisha nia yenu ya kipuuzi ambayo mmeifanya chaguo la pili baada ya lile la kwanza la kumpoteza kushindikana baada ya kelele za ndani na nje.
 
Ujinga ukikuzidia hauna tofauti na uchizi! Mleta hoja kajipange kwani aliyekutuma anaendelea kuisikilizia dozi aliyopewa kule moshi ambayo imepenya hadi kwenye mishipa take ya Neva!
Huu ujinga wako waambie makamongo wenzako kuwa limebuma na litaendelea kubuma na jipangeni kuumbuliwa jumapili kule ubungo! Ujinga mtupu!
 
Hawawezi kusema kwa sababu siyo serikali inayohusika kwa jinsi walivyo against serikali lazima wangekuwa wanasema ni mambo yao ya kuchukua wake za watu na kudhulumu mali za watu wanajikuta wako matatizoni
Wewe ukitekwa then ukarekodiwa kufanywa "bitch",utakaa kimya au utaongea ugwajimiwe?
 
Mdude karudi, alienda wapi?
Kweli Zitto Kabwe alisema nchi imekabidhiwa washamba.
Naona Mbowe ni zaidi ya kaa la moto kwa upande wenu ccm. Hanunuliki huyu yani hana bei, jiwe anaweza nunulika lakini sio Mbowe.
 
Hawawezi kusema kwa sababu siyo serikali inayohusika kwa jinsi walivyo against serikali lazima wangekuwa wanasema ni mambo yao ya kuchukua wake za watu na kudhulumu mali za watu wanajikuta wako matatizoni
Safari hii wametuma mpumbavu zaidi kuwatetea mitandaoni. Kula bk 7 za bure bidada.
 
Back
Top Bottom