Matope ni pale mtu anafikiri third world country inaweza kununua madawa ambayo pharmaceutical industries huuza kwa bei ghali ,pesa za miundo mbinu nakadhalika kwa cash ..utaweza kununua hizo dawa,condoms,na misaada na mikopo mnayopewa pindi mkiwa na GDP kubwa na uchumi mkubwa..Presida karisk kutoa pesa yote japo kakosolewa vikali sabb huenda sekta ya aviation ikafanya nchi hii fukara kuweza kujitegemea miaka 5-10 mbeleHii ni sio akili ni matope
Btw madawa si yanaletwa au hio mikopo si italipwa na faida ya aviation ,kodi nk