Mdude Nyagali: Mnanunua ndege kwa pesa taslimu halafu mnaenda kukopa dawa za binadam Bohari Kuu. Tukiwambia mnavuta bangi bila malengo mnalalamika

Mkuu unanunua ndege ili ikusaidie miaka ya mbeleni usiweze kukopa tena dawa bali kununua

Hivi mtu kununua basi kwaajili ya daladala na akakopa michele..huyu mtu hio daladala itamsaidia miaka ijayo asikope tena michele,sukari dukani atakuwa ananunua viroba kwa viroba ni moja ya mbinu
Hakir fupi izo
 
Wananunua ndege kwa wazungu Cash lakini wanamkopa mkulima wa KOROSHO... Akili zetu tumeshikiwa aisee...
 
Naomba ndugu zangu mlio karibu na mkuu, tuombeeni kabla hajamaliza muda wake Dreamliner au Bombardier ije itue Lituhi katika kumwenzi ndugu yetu marehemu Kapteni John Komba.

Mwenyezi Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi. Amen
 
Akili za bunuasi.. ukiwa na ndege yako unaweza kununua dawa ata kwa mkopo nafuu na kutumia usafiri wako!!
Niliwaambien muda mrefu hakuna Mkurugenzi wa serikali anayeweza kushindana na Mkurugenzi wa sekta bnafsi.
ATC chaliiii kifo cha Mende yule wa chooni
 
Kwa taarifa yako serikali I nanunua madawa bohari kuu, faida ya shule huijui
Bohari kuu ni serikali.
20181207_203432.png

Kasome zaidi. Bohari kuu aka MSD sio NGO.
 
Mkuu unanunua ndege ili ikusaidie miaka ya mbeleni usiweze kukopa tena dawa bali kununua

Hivi mtu kununua basi kwaajili ya daladala na akakopa michele..huyu mtu hio daladala itamsaidia miaka ijayo asikope tena michele,sukari dukani atakuwa ananunua viroba kwa viroba ni moja ya mbinu
Hii ni sio akili ni matope
 
42 Reactions
Reply
Back
Top Bottom