Mdude Nyagali: Mnanunua ndege kwa pesa taslimu halafu mnaenda kukopa dawa za binadam Bohari Kuu. Tukiwambia mnavuta bangi bila malengo mnalalamika

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,898
Mnanunua ndege kwa pesa taslimu halafu mnaenda kukopa dawa za binadam bohari kuu.Tukiwaambia mnavuta bangi bila malengo mnalalamika hivi baba wa familia unawezaje kununua bia kwa pesa taslimu halafu chakula cha familia unaenda kukopa hulipi madeni mpaka unasitishiwa huduma?

Mkuu unanunua ndege ili ikusaidie miaka ya mbeleni usiweze kukopa tena dawa bali kununua

Hivi mtu kununua basi kwaajili ya daladala na akakopa michele..huyu mtu hio daladala itamsaidia miaka ijayo asikope tena michele,sukari dukani atakuwa ananunua viroba kwa viroba ni moja ya mbinu
 
Mkuu kabsa umekubaliana na akili yako kwamba ndege zenu zitawapunguzia mikopo!?!
 
Mkuu unanunua ndege ili ikusaidie miaka ya mbeleni usiweze kukopa tena dawa bali kununua

Hivi mtu kununua basi kwaajili ya daladala na akakopa michele..huyu mtu hio daladala itamsaidia miaka ijayo asikope tena michele,sukari dukani atakuwa ananunua viroba kwa viroba ni moja ya mbinu
Tuna wanasiasa vilaza wengine wakupuuzwa tu
afu Kuna viumbe Wanamshabika na Upumbavu huu!!
 
Mkuu unanunua ndege ili ikusaidie miaka ya mbeleni usiweze kukopa tena dawa bali kununua

Hivi mtu kununua basi kwaajili ya daladala na akakopa michele..huyu mtu hio daladala itamsaidia miaka ijayo asikope tena michele,sukari dukani atakuwa ananunua viroba kwa viroba ni moja ya mbinu
Think tank ya CHADEMA imebaki matope tu!
 
Halafu biashara yenyewe inaonekana hakuna faida vinginevyo mihela yote iliyotumika kununua ndege tungeshaoneshwa live mkutano wa kumkabidhi raisi hundi ya faida. Tusikilize na zile habari zake za watanzania tukiamua tunaweza.

Hakuna plan wala nini, wakiona hali inazidi kuwa ngumu solution ni kuhujumu mpinzani wa kibiashara na madhara yake kuiua sector iliyochanga kiushindani.

TTCL tu pamoja na monopoly ya landline bado wanashindwa kupata faida inayoeleweka kama washidani wao.

Wameingia kwenye soko la mobile; ebu angalia 'above and below' promotion mix za wenzao Voda, Tigo, Airltel and the likes wanawafuata asilimia kubwa ya wateja wao wenye kipato cha chini kwenye channel zile zile vijana wanapopenda kutembelea ukiingia Millard Ayo wamo, Global TV wapo, fiesta wamo, cleverly packaged sales za hizi sijui insta bure, brand awareness campaign wapo; you name it.

TTCL zero wao wanasubiri wakamuone Magu awape shirika lingine au sijui alazimishe taasisi zote za serikari zitumie huduma yao ndio njia pekee wanayojua ya kupata wateja, faida yao nikutokana na usimamizi tu wa mapato na automatic market share waliyonayo kutokana na nature of their products rather than clever marketing ploys.

Same thing kwenye ndege to date, waste of tax payers money.
 
Back
Top Bottom