Mdude Nyagali: Mnanunua ndege kwa pesa taslimu halafu mnaenda kukopa dawa za binadam Bohari Kuu. Tukiwambia mnavuta bangi bila malengo mnalalamika

Mnanunua ndege kwa pesa taslimu halafu mnaenda kukopa dawa za binadam bohari kuu.Tukiwaambia mnavuta bangi bila malengo mnalalamika hivi baba wa familia unawezaje kununua bia kwa pesa taslimu halafu chakula cha familia unaenda kukopa hulipi madeni mpaka unasitishiwa huduma?


We pumbavu kweli kwani hata hayo madawa bohari kuu wameyalima au serikali ndio imepeleka?? Naona sasa unaanza kukosa adabu hata biblia imetamka usimnyime mtoto mapigo....huna adabu
 
Ndo mana hua nasema upinzani hapa nchini ni kundi la kihuni tu.sasa bohari kuu ni ya serikali ya Burundi?au Sudani?
inafanana na bohari kuu ya vifaa, serikali ikope tu? mifuko ya huduma za jamii je?
 
Hizi siasa wanazopenda kufanya za matusi ni za kijima mno.

Mtu unaweza kujenga hoja yako na ukaeleweka bila kutukana.

sasa anayeonekana kuvuta bangi ni huyo mtoa tuhuma na sio anayetuhumiwa.
 
Bohari kuu ni serikali wewe, acha ujinga! Kwa hiyo serikali inajikopa?
Naona umeshashiba sasa unakunya kwenye sinia humo humo!
Mpumbavu wewe, what is the difference between ATCL ana MSD OR NSSF?je ni halali kwenda kukopa ktk mashirika ya umma ambayo yanatakiwa yajiendeshe kwa faida ETI na siku hizi watoe gawio serikalini.Watapataje faida kama mnakopa hamlipi?watajiendeshaje,watanunuaje dawa nyingine zikiisha? Think twice mummy
 
Huyu nae kapotezwa CHADEMA mpo tu!! Mie nahisi wangekuwa watu wa kaskazini mngekuwa mshalipiza kisasi. Wapumbv kabisa nyie
 
Back
Top Bottom