Mdude chadema: Mnanunua ndege kwa pesa taslimu halafu mnaenda kukopa dawa za binadam bohari kuu.Tukiwaambia mnavuta bangi bila malengo mnalalamika


C

craq

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Messages
708
Likes
1,481
Points
180
C

craq

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2017
708 1,481 180
Hii ni sio akili ni matope
Matope ni pale mtu anafikiri third world country inaweza kununua madawa ambayo pharmaceutical industries huuza kwa bei ghali ,pesa za miundo mbinu nakadhalika kwa cash ..utaweza kununua hizo dawa,condoms,na misaada na mikopo mnayopewa pindi mkiwa na GDP kubwa na uchumi mkubwa..Presida karisk kutoa pesa yote japo kakosolewa vikali sabb huenda sekta ya aviation ikafanya nchi hii fukara kuweza kujitegemea miaka 5-10 mbele

Btw madawa si yanaletwa au hio mikopo si italipwa na faida ya aviation ,kodi nk
 
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
65,009
Likes
27,979
Points
280
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
65,009 27,979 280
Tatizo lako hutumii akili kwenye mambo yanayohitaji kutumia akili badala yake watumia masaburi
Bohari kuu ni serikali wewe, acha ujinga! Kwa hiyo serikali inajikopa?
Naona umeshashiba sasa unakunya kwenye sinia humo humo!
 
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
65,009
Likes
27,979
Points
280
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
65,009 27,979 280
Ndege au Yutong?maana naona ni dsm to mwanza vipi kuvuka mipaka hadi kule America,Canada na uingereza?
Mkuu unanunua ndege ili ikusaidie miaka ya mbeleni usiweze kukopa tena dawa bali kununua

Hivi mtu kununua basi kwaajili ya daladala na akakopa michele..huyu mtu hio daladala itamsaidia miaka ijayo asikope tena michele,sukari dukani atakuwa ananunua viroba kwa viroba ni moja ya mbinu
 
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
65,009
Likes
27,979
Points
280
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
65,009 27,979 280
Ebu funga karai la upuuzi na uzwazwa badala ya kwenda kwenu mwandiga kutengeneza kayoga unashinda lumumba unapiga domo kisa buku 7
Tuna wanasiasa vilaza wengine wakupuuzwa tu
afu Kuna viumbe Wanamshabika na Upumbavu huu!!
 
mbasha mazengo

mbasha mazengo

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2018
Messages
371
Likes
287
Points
80
mbasha mazengo

mbasha mazengo

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2018
371 287 80
Bohari kuu ni serikali wewe, acha ujinga! Kwa hiyo serikali inajikopa?
Naona umeshashiba sasa unakunya kwenye sinia humo humo!
Vipi kuhusu korosho mnazokopa kwa wanyonge?? Mbona hamkusema tutanunua ndege mpaka iwe na ubora?? Fedha za kununua wabunge na madiwani mnazo lakini za korosho hamna. Awamu hii mtazoa kinyesi lumumba.
 
Allen Kilewella

Allen Kilewella

Verified Member
Joined
Sep 30, 2011
Messages
8,929
Likes
13,698
Points
280
Allen Kilewella

Allen Kilewella

Verified Member
Joined Sep 30, 2011
8,929 13,698 280
Bohari kuu ni serikali. Kasome zaidi. Bohari kuu aka MSD sio NGO.
Hivi umesoma hicho ulichokinukuu ama ushabiki tu wa chama chako umekutia upofu?

Kwenye hiyo "Wikipedia"uliyoinukuu umeona kama kuwa imeandikwa hivi "Medical stores department was established by the act of Parliament No. 13 of 1993 as an autonomous department under the ministry of Health,Social development, Gender, Elderly, and Children.

Kwanza elewa kwamba MSD imeanzishwa kwa sheria ya Bunge na kwa maana nyingine serikali haina nguvu ya kisheria kufanya kinyume na sheria iliyoianzisha MSD. Na inawezekana wengine enzi za "Bohari ya madawa" hamkuwepo. Bohari ya madawa ndiyo moja kwa moja ilikuwa chini ya Serikali.

Baadae ikaonekana kianzishwe chombo ambacho hakitakuwa chini ya serikali lakini kitakuwa kinasimamiwa na serikali. Lengo lilikuwa kuzuia siasa kutumika katika kuchukua madawa na kuyatumia bila ya kulipia wakati mengi kati yake tunayanunua kwa mkopo na kwa kutumia fedha za kigeni.

Kwa mujibu wa sheria iliyoiunda MSD serikali ni mteja namba moja wa MSD lakini yenyewe haiimiliki MSD. Kwa maana nyingine inatakiwa serikali itoe hela ndiyo wapewe dawa. Hili jambo wanalielewa vizuri sana DMO's na RMO's.

Turudi kwenye kuamini kwamba MSD ni mali ya serikali. Sheria iliyoiunda MSD imeandikwa kuwa MSD imeanzishwa "as autonomous department under the ministry..." neno "autonomous" kwa kiingereza lina maana ya " having the freedom to act independently." au kwa kiswahili "kuwa na uhuru wa kufanya mambo yake chenyewe bila ya kuingiliwa"

Kwa maana nyingine ingawa MSD iko chini ya Wizara inayoshughulikia (Jina la wizara si jambo la msingi) masuala ya Afya, lakini kwa sheria iliyoiunda MSD si wizara wala Rais aliyeiunda wizara hiyo wenye mamlaka ya kupewa dawa bure.Serikali inakopa kwa kuwa haina mamlaka ya kuchukua dawa bila ya kulipa MSD.

Halafu Jogoo dume nimeona umeandika kwa mbwembwe sana kwamba MSD ndiyo bohari Kuu. CCM mna shida sana!! Mdude yuko sahihi kwa asilimia mia moja!!

Kilatha commonmwananchi kawoli MOTOCHINI Lupalilo ngwada Two dimension array mbasha mazengo Ruttashobolwa FaizaFoxy Mr. Django BEHOLD ufukunyuku exit ngopyolo mbwewe The golden Mwanahabari Huru craq gogo la shamba mbari viking Cliffhanger Suriya Hijja Madava Bila bila mulwanaka Sir Khan Nitajulikana Mmawia
 
utukufu mwanjisi

utukufu mwanjisi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2017
Messages
464
Likes
429
Points
80
utukufu mwanjisi

utukufu mwanjisi

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2017
464 429 80
Aisee leo naweza kuamini uhuru wa habari upo. ...huwez kumtukana mkuu kuwa anavuta bangi katika nchi ambayo haina uhuru
 

Forum statistics

Threads 1,235,629
Members 474,678
Posts 29,229,077