mduara...

Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,753
7,844
...Hivi, mtu anakuwa na dhamira gani kiasi cha kuamua 'kutembea' na ndugu wa ex-partner wake?

Kwa maoni yako, nani ni mkosa hapa?


Ferry romances son's ex

BRYAN Ferry must be hoping his son isn't a Jealous Guy, because the 63-year-old rocker is romancing his son's former girlfriend... without telling him.

The 63-year-old crooner has been dating 27-year-old Isaac Ferry's ex Amanda Sheppard for two months, during which time the pair have been seen canoodling at London parties.

An insider told Britain's Daily Mail newspaper: "She used to date Isaac about five years ago.
 
Hiyo ina utata!

- Nahisi ni freedom of expression,

kwa hiyo haina matata.

...yawezekana, lakini hiyo ni kuivuka mipaka kwa kuiruka tena kwa matusi na kejeli tele!...
 
Unauliza baba .. darja ya binaadamu inashuka sasa .. hatuna tofauti na wanyama .. hiyo ndo furaha na iblis .. kuwapoteza watu
 
Back
Top Bottom