Mdororo wa Uchumi: Landmark Hotels zabadilishwa kuwa hostel

Mchumi90

JF-Expert Member
Mar 16, 2015
1,074
1,268
Habari wakuu.
Nimepita maeneo ya Ubungo leo nikapita Landmarks Hotel nikakutana na bango la kubadilishwa kuwa hostel kuanzia September. Kwa hali hii sijui ni akina nani hawataisoma namba.

Nadhani kalenga sana soko la wanafunzi wa Udsm lakini sijajua gharama zake kama zitakuwa affordable, labda watu wa masters au foreigners.
75064670-cbd5-407d-a322-01ffd0b45cd8.jpg
852204c5-e0a1-42ce-b6bb-4e6a3a36110e.jpg
 
Habari wakuu. Nimepita maeneo ya Ubungo leo nikapita Landmarks Hotel nikakutana na bango la kubadilishwa kuwa hostel kuanzia September. Kwa hali hii sijui ni akina nani hawataisoma namba.
Nadhani kalenga sana soko la wanafunzi wa Udsm lakini sijajua gharama zake kama zitakuwa affordable, labda watu wa masters au foreigners.

Ana mahoteli na biashara nyingi tofauti tofauti ndani na nje ya nchi.Mmiliki wake ni S.H.AMON kubadilisha biashara kwake ni kitu cha kawaida.Anaitendea haki pesa yake.Yuko huru kuibadilisha hata kutoka hostel na kuwa nyumba ya kupaki magari.Ni jengo lake aweza litumia kwa biashara yoyote apendavyo.
 
Lazima hali itakuwa mbaya.....hakuna wateja ndio maana mmiliki ameona bora iwe hostel mpangaji anakaa zaidi ya miezi 6. Sasa hivi business ya hotel (pamoja na utalii) imeshuka sana. Hela imeshuka thamani, uchumi wa mtu mmoja mmoja nao unadidimia......nchi ikikurupuka kwenye sera zake za kiuchumi na kisiasa mambo ndiyo anavyokuwa.
 
Jamaa atakuwa amechoka kumnufaisha meneja wa hoteli. Unaambiwa leo watu hawajajaa kumbe vyumba vyote vimejaa full.
yani mkuu hicho tu kinanifanya niogope kufanya biashara bongo. Uaminifu ni sifuri. Ndugu ndio kabisa ukimuweka akisimamie yani atakupiga panga vbaya sana. Kamwe hatutaendelea tusipoacha hii tabia. Kuna jamaa alimtumia bro wake hiace flan yani wee acha hadi imeharibika jamaa hajaona hata buku na mizinga haishikumpiga. Inakera sometimes nasemaga CCM ipo sahihi tu kutuonea
 
sasa hapo si ndio mwake jamani, uzuri wa biashara ya hostel ni prepaid! Unavuta 160*4 kwa kila kichwa! Ukizidisha hio pesa mara 6 kama kila room ina deka 3 hela nzuri tu! Zidisha mara hoteli nzima uone hela ilivyo tamu na hata kodi atakayolipa itakuwa tofauti na ile ya hoteli! Jamaa nimemsifu sana, very strategic na flexible
 
Ni upumbavu kuchekelea matatizo ya watu!kumbuka nawe huko uliko soon utavunjiwa nyumba kwasababu umejenga kwenye hifadhi ya barabara !pia wewe mfanyakazi soon muajiri wako atapunguza wafanyakazi na wewe ni miongoni mwao!
wanaocheka ni wapumbavu, jamaa atapiga hela nzuri mno kwa wastani wa vyumba kumi tu hawezi kosa 35mil ndani ya miezi minne sasa ni hela ndogo hio!?
 
Lazima hali itakuwa mbaya.....hakuna wateja ndio maana mmiliki ameona bora iwe hostel mpangaji anakaa zaidi ya miezi 6. Sasa hivi business ya hotel (pamoja na utalii) imeshuka sana. Hela imeshuka thamani, uchumi wa mtu mmoja mmoja nao unadidimia......nchi ikikurupuka kwenye sera zake za kiuchumi na kisiasa mambo ndiyo anavyokuwa.

imeshuka thamani kipindi hiki cha jpm, au kipindi gani
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom