babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,644
- 3,288
wacha waisome namba
yani mkuu hicho tu kinanifanya niogope kufanya biashara bongo. Uaminifu ni sifuri. Ndugu ndio kabisa ukimuweka akisimamie yani atakupiga panga vbaya sana. Kamwe hatutaendelea tusipoacha hii tabia. Kuna jamaa alimtumia bro wake hiace flan yani wee acha hadi imeharibika jamaa hajaona hata buku na mizinga haishikumpiga. Inakera sometimes nasemaga CCM ipo sahihi tu kutuonea
wanaocheka ni wapumbavu, jamaa atapiga hela nzuri mno kwa wastani wa vyumba kumi tu hawezi kosa 35mil ndani ya miezi minne sasa ni hela ndogo hio!?
wanaojiuza huwa hawahesabu.Hivi wewe una mabwana wangapi?
Itategemea upatikanaji wa wapangaji. Kwa hali ya kipato ilivyo ngumu sasa si watu wengi watapanga kwenye Hostel aghali hivyo. Kwa sababu hiyo 160,000.00 ambayo ni kodi ya mwezi 1 inatosha kabisa kukupatia pango la miezi 3 - 4 maeneo mengine ya Dar.
ofcourse lazma kodi ilipwe ila logically sidhani kama biashara iliosajiliwa kama hostel itakuwa na makato makubwa sana tofauti na iliosajiliwa kama hoteli!Usisahau watu wa kodi watakwenda ku re -assess......don't play with a tax man especially in this regime " hapa kazi tu"
Kafanya uamuzi mzuri sana, maana nilienda hapo year 2010 Hotel inaendeshwa Kinyakyusa balaa ! nilijua hakika ataanguka tuu. Kujenga na kuendesha ni vitu viwili tofauti sanaHabari wakuu.
Nimepita maeneo ya Ubungo leo nikapita Landmarks Hotel nikakutana na bango la kubadilishwa kuwa hostel kuanzia September. Kwa hali hii sijui ni akina nani hawataisoma namba.
Nadhani kalenga sana soko la wanafunzi wa Udsm lakini sijajua gharama zake kama zitakuwa affordable, labda watu wa masters au foreigners.
Hiyo Hotel ilimshinda kuendesha zaidi ya miaka 8 iliyopita. Hotel ilikuwa kubwa na wafanyakazi wana under perform. wengi wameajiriwa kindugu na kikabila. Ilikuwa chafu na ipo outdated !Hizi hoteli zilikuwa zinapta sana tenda za seminars za ofisi za serikali! And now magufuli kaamua kuzisitisha lazima wafunge. Maana wateja wa kulala wale sio kivileee. Seminar ndio zilikuwa zinawatoa
Usiiahi kwa kukariri jombaayani mkuu hicho tu kinanifanya niogope kufanya biashara bongo. Uaminifu ni sifuri. Ndugu ndio kabisa ukimuweka akisimamie yani atakupiga panga vbaya sana. Kamwe hatutaendelea tusipoacha hii tabia. Kuna jamaa alimtumia bro wake hiace flan yani wee acha hadi imeharibika jamaa hajaona hata buku na mizinga haishikumpiga. Inakera sometimes nasemaga CCM ipo sahihi tu kutuonea
Aisee walikuwa wanapiga za kutosha mno na kama biashara ilikuwa inawaendea vyema maana haraka haraka naona bei zao ziki range kati ya 130k mpaka somewhere 240k per kichwa,Na piga mahesabu kama ingekuwa inafanya kazi kama hoteli angekuwa anaingiza kiasi gani.
Aisee walikuwa wanapiga za kutosha mno na kama biashara ilikuwa inawaendea vyema maana haraka haraka naona bei zao ziki range kati ya 130k mpaka somewhere 240k per kichwa,
Cheki bei zake kwa suites tofauti hapa hivi:
Landmark Hotel-Ubungo - Kinondoni
Ninyi mnafikiri ugumu wa maisha ni kwa wapinzani tuu, ndo maana mnakazana wataisoma namna.Ni upumbavu kuchekelea matatizo ya watu!kumbuka nawe huko uliko soon utavunjiwa nyumba kwasababu umejenga kwenye hifadhi ya barabara !pia wewe mfanyakazi soon muajiri wako atapunguza wafanyakazi na wewe ni miongoni mwao!