Mdororo wa kiuchumi wazidi kuikumba Tanzania, TTCL kupunguza wafanyakazi 400

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,575
Mashirika ya umma ndio muhimili wa nchi kuisadia katika kuajiri. Tofauti na sekta binafsi, lakini kwa TTCL ambao ni shirika la umma lipo mbioni kusimamisha wafanyakazi.
 
TTCL biashara ya ushindani imewashinda. Wameshindwa kwenda na kasi ya Teknolojia ya sasa inayotumiwa na makampuni binafsi. Hapo sijaona connection ya mdororo wa uchumi ila ninachokiona ni TTCL kushindwa biashara ya ushindani
 
MCC vipi??
 
Wazungusha mikono hamjambo?
Naona kila Siku nyie ni kushabikia mikwamo tu!

Kwa ujinga huo CCM itatawala Mimi!
 
TTCL biashara ya ushindani imewashinda. Wameshindwa kwenda na kasi ya Teknolojia ya sasa inayotumiwa na makampuni binafsi. Hapo sijaona connection ya mdororo wa uchumi ila ninachokiona ni TTCL kushindwa biashara ya ushindani

Serikali ya kasi inasaidia vipi hilo?
 
hawa niwafanyakazi hewa wanaondolewa tu kwenye payroll, yaani ttcl ilete mdororo wa uchumi? you are kidding yourself.
 
TTCL biashara ya ushindani imewashinda. Wameshindwa kwenda na kasi ya Teknolojia ya sasa inayotumiwa na makampuni binafsi. Hapo sijaona connection ya mdororo wa uchumi ila ninachokiona ni TTCL kushindwa biashara ya ushindani
Ni kweli haya mashirika yalizoea kujiendeasha kwa mazoea hasa kujinufaisha kwa baadhi ya watendaji hayakua kibiashara na hasa kuzoea ruzuku toka serekalini
 
~~~~~>TTCL ilipaswa kuwapunguza hawa watu siku nyingi sana..... Ni wafanyakazi wasio na kazi ya kufanya.

~~~>Matatizo ya TTCL ni sawa na ya ATC.... Wafanyakazi wasio na kazi za kufanya.....
Kwanini is fanye diversification ; ikawa kama
1.ISP (Internet service provider)
2.Ikaja na simu zake kama ilivyo startimes , Wakaendelezwa hawa wakawa ni Techinical na wasambazaji wa simu zinazoitwa TTCL na kuzimarket

3.kwa nini wasijidivide wakawa na kitengo na nertwork installation and cabling ; wakawa wanafunga cable au nertworking kwenye mashirika ya Umma au ofisi za umma.

4. Kwanini wasiwe wanafunga telephone au Radio call nchi nzima

NAONA WAMEKOSA UBUNIFSI

WE WILL STILL BE POOR
 
Ni kweli haya mashirika yalizoea kujiendeasha kwa mazoea hasa kujinufaisha kwa baadhi ya watendaji hayakua kibiashara na hasa kuzoea ruzuku toka serekalini

DG KASHINDWA KUUTILIZE RESOURCES TU.

UBUNIFU WETU SIO KUCREATE JOB , NI KUFUKUZA NA KUPUNGUZA WAFANYAKAZI
 
Back
Top Bottom