Mdomo wa binadamu na bakteria sawa na idadi ya watu wamarekani

MPAMBANAJI.COM

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
712
331
nINGEPENDA MFAHAMU YAKUA binadamu anabakreria wengi sana mdomoni kwake kulikoni hata idadi yote ya watu wa Marekani na Kanmada.Ongezeko la bakteria hawa ni kubwa sana kwa wale wanaopendelea nyama,mayai na samaki afu kwa bahati mbaya hawazingatii usafi wa kinywa. Usibishe ila jipe tathini kwa kula nyama ya ng'ombe na usiswaki kwa masaa ishirini na nne afu ule chakula kingine tofauti na nivyo afu ujipime. Shida hapa ni wakati wamahaba kwa wale wapendao makises.
Hivyo tahadhari hakikisha kuwa kinywa chako ni safi wakati wote. Usiniulize vipi kuhusu anywaye bia
 
Back
Top Bottom