Mdomo umeoza

karma alvin

Member
Jan 9, 2013
51
8
Wana jf mwenzenu ninatatizo kidonda kwenye mdomo wa juu kimetokea gafla siokikubwa sana ila naona kama hakiponi alafu kutokana na yale majimaji yake kinataka kuambukiza na kwenye mdomo wa chini.

Je tatizo ni nini?
 
Back
Top Bottom