Mdomo ukitumika vizuri ni zaidi ya AK-47,SMG

Nyamsusa JB

JF-Expert Member
Jul 9, 2015
568
1,562
Watu wanajiuliza Tundu Lissu ana siraha gani mpaka awindwe na siraha nzitonzito namna hiyo.
Napenda kuwaambia hivi Mdomo ukitumika vizuri kabisa na ukatumika ipasavyo basi una nguvu kuliko AK-47,SMG na hata bomu la nuclear.
Lisu anaijua siraha hii ndio maana kawa Tishio la Nchi.
Nakutakia kila la kheri Tundu Lissu.
 
Back
Top Bottom