GAMBLER
JF-Expert Member
- Nov 22, 2009
- 303
- 11
MDOLI MKUBWA WA NGONO WA KIKE WAZINDULIWA
Ubunifu wa mdoli huyo ajulikanaye kama Roxxxy, akiwa na akili kamili ya kitaalam na ngozi ya kuvutia kama ya binadamu, umewavutia watu wengi katika maonyesho ya kila mwaka ya burudani ya watu wazima huko Las Vegas, Marekani.
Mdoli huyo hawezi kufanya mambo kadhaa kama vile kupika na kadhalika, lakini anaweza kufanya kitu chochote kingine iwapo unanielewa ninamaanisha nini, alisema Douglas Hines, rais wa kampuni la TrueCompanion, lililotengeneza mdoli huo wa mpira wenye urefu wa futi 5 na inchi 7, na ambao umegharimu Paundi 4,000.
Mbali na mdoli huo kuwa tayari kwa kitendo, moyo wa mashine wa mdoli huo, unasemekana unaweza kumvutia mwanamme yeyote kwa upole.
Katika tendo la ngono, mdoli huo hukupa utakacho ikiwa ni pamoja na kuzungumza nao, kwani hukusikia, kukusikiliza na kuongea. Isitoshe huwa unapata hisia wakati unaushika na pia huwa unalala, anasema Hines kwa kuwahakikishia wateja wake.
Tunajaribu kuhakikisha tunatengeneza kitu ambacho kinafanana na binadamu, anaongeza.
Mdoli huo ambao unajulikana kama mpenzi aliyetoka kwenye maabara, una sehemu zote zilizomo katika mwili wa binadamu na kwa vipimo vilevile, japokuwa hauwezi kujongea, lakini unaweza kuzungumza.
Mdoli huo ambao hivi sasa unauzwa Ulaya na Marekani, hatimaye utapatikana duniani kote.