Mdoli wa NGONO!!

GAMBLER

JF-Expert Member
Nov 22, 2009
303
11
1263389550_5.jpg

MDOLI MKUBWA WA NGONO WA KIKE WAZINDULIWA

Ubunifu wa mdoli huyo ajulikanaye kama Roxxxy, akiwa na akili kamili ya kitaalam na ngozi ya kuvutia kama ya binadamu, umewavutia watu wengi katika maonyesho ya kila mwaka ya burudani ya watu wazima huko Las Vegas, Marekani.

“Mdoli huyo hawezi kufanya mambo kadhaa kama vile kupika na kadhalika, lakini anaweza kufanya kitu chochote kingine iwapo unanielewa ninamaanisha nini,” alisema Douglas Hines, rais wa kampuni la TrueCompanion, lililotengeneza mdoli huo wa mpira wenye urefu wa futi 5 na inchi 7, na ambao umegharimu Paundi 4,000.

Mbali na mdoli huo kuwa “tayari kwa kitendo”, moyo wa mashine wa mdoli huo, unasemekana unaweza kumvutia mwanamme yeyote kwa “upole”.

“Katika tendo la ngono, mdoli huo hukupa utakacho ikiwa ni pamoja na kuzungumza nao, kwani hukusikia, kukusikiliza na kuongea. Isitoshe huwa unapata hisia wakati unaushika na pia huwa unalala,” anasema Hines kwa kuwahakikishia wateja wake.

“Tunajaribu kuhakikisha tunatengeneza kitu ambacho kinafanana na binadamu,” anaongeza.

Mdoli huo ambao unajulikana kama mpenzi aliyetoka kwenye maabara, una sehemu zote zilizomo katika mwili wa binadamu na kwa vipimo vilevile, japokuwa hauwezi kujongea, lakini unaweza kuzungumza.

Mdoli huo ambao hivi sasa unauzwa Ulaya na Marekani, hatimaye utapatikana duniani kote.
 
God have mercy! huku tunakoelekea sasa siko

Hata mimi nashangaa sana. Yaani kwa idadi ya wanawake na wanaume waliotapakaa duniani tunahitaji plastic? Ngoja nami nizame maabara, wasiponifungia naweza kutegeneza kitu ambacho ni cloned ili watu waendeleze ujinga wao!
 
eeeh kweli haya mambo ya sayansi na teknolojia yaenda fasta hii ni hatari kubwa
 
utamu wa c.u.m.a yake hauwezi kufikia ile kitu yenyewe NATURAL!!.
 
hawa wanatengeneza kama tiba ya wanume wapweke wanaokumbwa na mifadhadaiko ya mara kwa mara baada ya kupigwa vibuti na mademu.

hebu fikiri kama mademu yasingekuwa dili ngumu, nanani angekumbuka doli au sabuni?

mademu nayo yamezidi kupenda mno hela matokeo yake wanume masikini huogopa hata kujaribu bahati yao ila wenye fedha hubadili mademu watakavyo. ngoja nimalize shule, nikipata fweza mtanikoma, walahi miaka kumi ya mwanzo ni magwaride tu hadi nikinai ndo naoa.

sasa mlishindwa kushangaa kushamiri kwa mastabasheni mnashangaaje hili? yete mawili sababu yao ni mija, masister acheni kupenda fedha, jalini utu, khaa!
 
Hapo kwenye RED, omba Mungu wako (hata kama ni shetani) ulifikie hilo lengo! Kuna wadudu fulani wanaotoka kwenye jamii ya Retrovirus, hawaangalii plan zako. Anyway, ukimaliza hicho kibarua cha kuwakomoa usisahahu kutupa mshindo nyuma.
 
Umenichekesha sana!
 
dawa ya ukimwi itakuwa imeishapatikana, so ont wore
 
1263389550_5.jpg

MDOLI MKUBWA WA NGONO WA KIKE WAZINDULIWA

Ubunifu wa mdoli huyo ajulikanaye kama Roxxxy, akiwa na akili kamili ya kitaalam na ngozi ya kuvutia kama ya binadamu, umewavutia watu wengi katika maonyesho ya kila mwaka ya burudani ya watu wazima huko Las Vegas, Marekani.

“Mdoli huyo hawezi kufanya mambo kadhaa kama vile kupika na kadhalika, lakini anaweza kufanya kitu chochote kingine iwapo unanielewa ninamaanisha nini,” alisema Douglas Hines, rais wa kampuni la TrueCompanion, lililotengeneza mdoli huo wa mpira wenye urefu wa futi 5 na inchi 7, na ambao umegharimu Paundi 4,000.

Mbali na mdoli huo kuwa “tayari kwa kitendo”, moyo wa mashine wa mdoli huo, unasemekana unaweza kumvutia mwanamme yeyote kwa “upole”.

“Katika tendo la ngono, mdoli huo hukupa utakacho ikiwa ni pamoja na kuzungumza nao, kwani hukusikia, kukusikiliza na kuongea. Isitoshe huwa unapata hisia wakati unaushika na pia huwa unalala,” anasema Hines kwa kuwahakikishia wateja wake.

“Tunajaribu kuhakikisha tunatengeneza kitu ambacho kinafanana na binadamu,” anaongeza.

Mdoli huo ambao unajulikana kama mpenzi aliyetoka kwenye maabara, una sehemu zote zilizomo katika mwili wa binadamu na kwa vipimo vilevile, japokuwa hauwezi kujongea, lakini unaweza kuzungumza.

Mdoli huo ambao hivi sasa unauzwa Ulaya na Marekani, hatimaye utapatikana duniani kote.
hili ni chukizo kubwa sana kwa Mungu na matusi katika uumbaji wake...mwisho wa dunia hu karibu kama si tayari...:(
 
siyo hatari kubwa kwani ni pamoja na kujikinga na magonjwa yaliyopo

pia kuepuka usumbusu wa ma Gf we hujui akinunua huo ile gharama ya Dinner na vitu vingine vinakuwa kwa heri.
 
Back
Top Bottom