Mdogo wangu wa kike ananiomba hela ili hali kaolewa na mume wake ana kipato kizuri

Mkuu umesoma kilichoandikwa?
nimesoma na nimeelewa nini kilichoandikwa na nini nilichoandika
Au wewe hujaelewa nilipoandika Sumu
Kwani wewe hujui mbinu mbalimbali anozotumia mwanamke?
Kumbuka sio kila tego atakalokutegea mwanamke ukiwaza kwamba anafanya hivo kwaajili fa shida hiyo bali no hapana!!!
Huenda anafanya hivo akiwa na lengo la pesa,au majaribu mengine
Na huenda hata pesa anapewa na huyo jamaa yake ila na yeye akafanyia mambo yake
Bali ni tamaa yake tu!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom