Mdogo wangu Metacha 'Poti' Mnata, Meneja wako Jemedari Said atakuponza na Yanga SC 'watakuua' sasa!

'Hasipopendwa' ndiyo Kiswahili cha wapi hiki? Kumbe na Wewe huwa huandiki Kimpangilio kama hivi?
sio kila mtu ni mswahili au amekulia kwenye uswahili wa kujua kiswahili, kumbuka hatujuani humu, si kila unaechat nae kila siku au miaka yote anaongea au kuandika lugha uijuayo wewe, nilipo kiswahili hatuongei yapata miaka na miaka
 
si metacha tu, wachezaji wote wa Yanga wanahukumiwa kwa ubora wa wachezaji wa simba ,sarpong anafananishwa na boko na kagere, mnata wanataka awe kama manula, kibwana shomari awe kama shomari kapombe! poleni sana Yanga
 
Metacha hakukosea kuwambia Washabiki wa Yanga 'WANAGONGWA'
Dole la kati manayake Unagongwa jambo ambalo kwa Uto ni Sahihi.
 
Wee ndumba ipo shehe, unaweza shangaa timu mnapoteana mpira hauonekani hata man city anaweza kukaa kwa simba
Acha uongo wewe, mbona hakuna timu yoyote ya Afrika iliyowahi kufika hata nusu fainali ya kombe la dunia.

Mpira ni sayansi bwana, fikra za kijinga kama hizi ndizo zinafanya mpira wa Tanzania usiendelee.
 
Back
Top Bottom