Kilimo hawezi kusoma kama hajafaulu Biology na Chemistry angalau kwa alama D.Chuo kinahusika, kama si education hata mambo ya kilimo piaa .
Mdogo angu kapafa four ya 26 Ana "F" ya Phy na Math pia Ana "C" ya history na Kiswahili, masomo matano yaliyobaki naomba ushauri tufanyeje.
Naombeni ushauri.
awe tu mjasiriamali kwa kweli.
Ni jinsia gani? Kufeli mitihani sio kufeli maisha bado ana nafasi ya kusonga mbele.. Mtafutie vyuo vya ufundi akasomee hobby yake....AtapasuaMdogo angu kapafa four ya 26 Ana "F" ya Phy na Math pia Ana "C" ya history na Kiswahili, masomo matano yaliyobaki naomba ushauri tufanyeje.
Naombeni ushauri.
Umemuelewa lakini mleta madaKilimo hawezi kusoma km hajafaulu Biology na Chemistry angalau kwa alama D.