Mdogo wangu Bashite huyo anaekupa jeuri amebakiza miaka tu 6 ya kustaafu

Ana maadui wengi kuliko marafiki..na anadhani maadui wake ni chadema tu.Kwa taarifa yako hata sisi wa ccm wengi tukikutana kwenye vijiwe vyetu hatukukubali kabisa...tunakuangaliaaaa tumasema laiti ungejaaliwa kujua yakupasayo kuyafanya, ungeyafanya kwa kuomba hekima sana...haiwezekani kila tukio baya la maangamizi lenye roho za kishetani uhusishwe haiwezekani kabisa..Bro. nyakati zinabadilika sana..usimtendee mwenzako ubaya ujui kesho yake Mungu amepanga jini....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asije kutuacha mdomo wazi, baada ya anayemkingia kifua kuondoka, anaingia yeye kukikalia hicho kiti.
Ccm, akili za wa Tz na tume ya uchaguzi, hawatabiriki.
Kama kwa yote yanayoelezwa juu ya elimu yake na bado ana cheo kikubwa hivyo, nini kitazuia asiwe juu zaidi?
Katika kundi lao wengine wote wana shahada mbili yeye tu ndio haijulikani ana elimu gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukipiga maesabu ya mwaka 2013 hadi sasa 2019 utagundua ni kama juzi tu, basi ndivyo ilivyo kwa bwanamkubwa kumaliza muda wake ni keshokutwa tu maana siku hazigandi

Mdogo wangu DAB angalia sana maneno yako kwani anayekupa jeuri mda unakuja atastaafu, mwenzako ana kinga wewe huna kinga, huwezi jua kiongozi ajaye ni nani na anaweza kukuchukulia hatua gani kama akiamua, kwani naamini kuacha maadui wako wa upinzani hata hapo chamani ulipo maadui ulionao ni wengi sana na watu wanakuchora tu.

Maadui zako walio humo humo chamani wanakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa kwakuwa wanajua ukaribu wako na anayekubeba ni mkubwa hivyo wanakupa sifa za uwongo ili kulinda ugali wako tu, lakini nakuambia siku itafika hao hao wanaokusifia watakugeuka

Ni vyema mdogo wangu ujifunze kuwa na hekima kwasababu hujui kesho yako, huyo aliyekubeba mgongoni ipo siku atakutua na kukuacha peke yako kama mtoto yatima na hapo ndipo utaiona sayari kama imebadilika rangi, jifunze kukaa kimya mdogo wangu

Jifunze hekima...

Sent using Jamii Forums mobile app
Naskia atakua PM zamu ijayo

Kuna maisha baada ya utumishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom