Mdogo wangu anatafuta mchumba

Kwani wewe huna mashost umpe?? Au madogo wa mashost pia??? Mitandaoni humu sio poa.
 
Ana GPA ya ngapi? Maana inaonekana alikuwa anasoma kwa bidii hata wasichana alikuwa hawaoni
Mambo zenu,nina mdogo wangu wa kiume kamaliza chuo na anatafuta mtu serious
He is 24 black and tall
Hii ni kwa wadada tu I want to do him a favor
Pm me if interested
 
Ushaambiwa humu ndani watu wapo kwenye dozi,.. Line kubwa ya umeme wa taifa umeunganisha wengi,... Na wewe unamtosa mdogo wako aunganishwe!?
 
Ushaambiwa humu ndani watu wapo kwenye dozi,.. Line kubwa ya umeme wa taifa umeunganisha wengi,... Na wewe unamtosa mdogo wako aunganishwe!?
Umeme upo kila sehem hata mtaan hawa hawa wa Jf ndo tunakutana nao makanisan na misikitin
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom