Mambo zenu,nina mdogo wangu wa kiume kamaliza chuo na anatafuta mtu serious
He is 24 black and tall
Hii ni kwa wadada tu I want to do him a favor
Pm me if interested
Ya ngoswe mwachie ngoswe mkuuUshaambiwa humu ndani watu wapo kwenye dozi,.. Line kubwa ya umeme wa taifa umeunganisha wengi,... Na wewe unamtosa mdogo wako aunganishwe!?
Umeme upo kila sehem hata mtaan hawa hawa wa Jf ndo tunakutana nao makanisan na misikitinUshaambiwa humu ndani watu wapo kwenye dozi,.. Line kubwa ya umeme wa taifa umeunganisha wengi,... Na wewe unamtosa mdogo wako aunganishwe!?