Mdogo wangu anahitaji kazi ama kibarua cha mkataba akusanye hela kwajili ya kufanyia kazi wazo lake.

wiser1

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
2,063
2,000
Husika na kichwa cha habari hapo juu, mdogo wangu amesoma degree ya food science and technology (Sua). Anahitaji kupata kibarua ama kazi ya mkataba hata miaka mitatu akusanye mtaji aweze kufanyia kazi wazo lake zuri la kufungua kiwanda cha kutengeneza mikate. Ana uzoefu wa kufanya kazi kwenye makampuni ya vinywaji laini na watengenezaji wa mikate.

Msaada wako ni muhimu. Kwa sasa yuko Moshi mkoani Kilimanjaro.

Nitajibu maswali yote muhimu.

Asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom