Mdogo wangu amepata GPA ya 2.9 Shahada ya Sheria, atapata ajira kweli huyu?

Alikuwa chuo gani. GPA ya 2.9 ni ndogo ila sio reflection ya uelewa wake na uwezo wake wa kuchanganua mambo. Kwanza ajira zinatolewa kwa GPA ndogo ya hapo, taasisi kubwa ndio zinataka 3.5 na kuendelea
Duuuh! Inategemea na kozi, huwezi kusema mtu kapata 2.5 kwenye mechanical ukafananisha na 2.5 ya kwenye law
 
Pass ndo cheti ila GPA inakusaidia kwenye upgrading.

Kazi zipo tele ila hata wenye GPA za 5 hawana kazi
 
Mh 2.9 alikua anasoma kwel mbona hayuko competent ajihusishe na kilimo au ufugaji ila akaze sana msuli tuna wasomi wengi na wana ufaulu mzuri sana na wapo kitaa hivyo ajaribu akiona anakataliwa afuate ushauri wangu.
Umenikumbusha dada mmoja tulikuwa karibu sana chuo yeye kila UE, test zote yaan had quiz lazima atumie kibomu yeye matokeo yake ilikuwa A, B tupu c chache mno, yaan ana GPA nzuri UPPER SECOND lakin hajui hata baadhi ya definitions ukimuuliza. Ukiangalia cheti chake utafurahi na roho yako lakin hana anachojua kusema ukweli. So siyo kila anaepata GPA ya chini hakusoma wengine walijitahd walisoma lakin ndo hawakufanikiwa kufanya vizuri. Yule dada mpaka leo haya akiambiwa kuna kazi hii hapa anakataaga kwenda kuifanya anasema labda waanze kumfundisha upya

Sent from my SM-G930V using JamiiForums mobile app
 
BoT unaenda na GPA ya 2 point something? Labda uwe mchongo. Kuna mahala tukienda kuomba field tunaambatanaisha matokeo na wanaondoa under 3.5 zote sasa hapo sijajua wataichukua vipi 2.9 kazini. TRA ni changanyikeni, ina maelfu ya wafanyakazi, taasisi zenye uhitaji mdogo wa wafanyakazi zinabana vigezo
Mkuu wewe unasoma kumbe? Unasoma kozi ipi?!
 
Nni kakwambia ajira ya sheria inahusiana na G.P.A

Mwambie aende law school na afaulu

Ajifunze legal grafting

Akipata muhuri wala haitaji ajira wala kwenda kubishana mahakamani, anatulia ofsini zinakuja hela zenyewe za mikataba na affidavit
 
Tajiri umesema ukweli kabisa Tajiri, GPA kubwa (best academics merits) na kupata kazi na kuwa na uwezo mkubwa kichwani ni njia tatu tofauti kabisa,

Kuwa watumishi aina mbili yaani
(1) Academicians (mtaaluma)
Hawa wanapimwa kwa best academics achievements professional experience kwao sio assets saana kwao, mara nyingi wenyewe hawako vizuri kwasababu wanasoma kwajili ya knowledge delivery Hawa ndio lecturers wetu na cheo Cha mwisho kabisa upande wa Academicians ni professor, kama unataka kuwa academician kwa GPA Yako HAIWEZEKANI, pia huwa hawana pesa, MISHAHARA YAO YA KAWAIDA mfano the highest salary pale udsm ni 6M
OUTPUTS Yao ni Knowledge delivery

(2) professionals hawa wanapimwa na professional working experience hapa GPA haisadi kabisa Tajiri hapa ni KNOW HOW na mara zote genius wako hapa mara nyingi intelligent people huwa wana academics mbovu kwasababu huwa wanafanya mambo ambayo lecturers hajui hivyo kumpa marks ndogo kwa sababu hajui kile alichokiandika,
WANAPIMWA KWA PROFESSIONAL WORKING ACHIEVEMENT AND EXPERIENCE, PIA KUMBUKA GOOD ACADEMICS RECORDS AND MARKS US THE OUTPUTS OF PREPAREDNESS AND ENVIRONMENT WHILE INTELLIGENCE UNAPEWA NA MUNGU NATURALLY.

hapa as longer as una bachelor degree certificate unapata kazi yaaani hapa GPA sio issue kabisa Haina maana kabisa.
Hapa ndio Kuna pesa na mishahara mikubwa hapa officer anayeingia unakuta analipwa mil 5 hapa Tanzania, Kaka yangu alipata gpa ya 3.2 Mzumbe university ila now Yuko ameajiriwa kama data scientist United nations HQ new York city.

Kama unataka pesa na career capacity improvement and advancement nenda professional category while kama unataka maisha ya kawaida na kupelekwa Ulaya kusoma nenda academician category.

NOTE: NI MWAKA WA KUMI SASA BEST STUDENTS WETU UDSM YUPO kitaaa Hana kazi ya maana na maalum anasuburi interview ya watu wachache eti kwa sababu ana GPA kubwa. Kupanga ni kuchagua your life your choice.


Conclusion.
Hiyo GPA ni kubwa saana Tajiri kubwa saana sio tuuu TRA Bali hata United Nations new york HQ anapata kazi permanent contract as longer as ameonyesha anauwezo wa kufanya kazi husika.
, sawa msomi wetu was kiwango cha Uprofesa. Karibu UDASA tupige ulabu, tuongee kiswanglishi kidogo na nadharia nyingi za research na academic issues kwa wingi ila innovation na creativity tuwaachie policy makers, wenye elimu ya kawaida na mipunga mirefu bila kusahau unyunyu wa ma-v8 VXR, Prado TX L n.k.
 
GPA HAI CLAIM JUSTICE WALA HAISHINDI KESI...MAHAKAMANI PALE MFANO HUA UNAPELEKA CHETI AU TRUTH..GPA INATUMIKAJE HAPO.... cha muhimu taaluma unayo hata ajira zikitoka kuna usaili..pale ndio watapima unanini kichwani sio gpa...mtu unapataje 4.9 gpa ya law..hivi una muda hata wa ku experience maisha ili uweze kutofautisha equality na justice ambavyo darasani hamfundishwi na utatakiwa kafanyia kazi hvyo vitu,, zaidi kwamba umekesha laibrary kusoma marehemu wale na ma theory zao kutwa kuchwa ukafaulu kwa 4.9 na ukashindwa kui deliver
 
Mh 2.9 alikua anasoma kwel mbona hayuko competent ajihusishe na kilimo au ufugaji ila akaze sana msuli tuna wasomi wengi na wana ufaulu mzuri sana na wapo kitaa hivyo ajaribu akiona anakataliwa afuate ushauri wangu.
Kwa hiyo huko kwenye sheria amebuma kilimo atakiweza kweli, mbona mnadharau sanaa nyie vijana nani alilwambia watu waliofail kwenye kilimo ataweza , tueshimu taaluma za watu
 
GPA HAI CLAIM JUSTICE WALA HAISHINDI KESI...MAHAKAMANI PALE MFANO HUA UNAPELEKA CHETI AU TRUTH..GPA INATUMIKAJE HAPO.... cha muhimu taaluma unayo hata ajira zikitoka kuna usaili..pale ndio watapima unanini kichwani sio gpa...mtu unapataje 4.9 gpa ya law..hivi una muda hata wa ku experience maisha ili uweze kutofautisha equality na justice ambavyo darasani hamfundishwi na utatakiwa kafanyia kazi hvyo vitu,, zaidi kwamba umekesha laibrary kusoma marehemu wale na ma theory zao kutwa kuchwa ukafaulu kwa 4.9 na ukashindwa kui deliver
Watu wenye tu jipiei tudogo mnajua sana kujifariji!
 
Back
Top Bottom