FF umesoma hilo? hapa FF kaguswa vibaya, angekuwa upande mwingine ungesikia koment za kejeli za FF
avoid the ignorant." (Qur'an 7:199)Mie niwaambie nini? naona mnamwaga pumba tu, mchele hakuna. Hivi "ASSAD ABDULSUL AZIZI" hilo ndio jina la baba'ke Rostam. Ndio maana ukisoma nyuma nikawaambia "akili ni nywele kila mtu ana zake". Kwanza njooni na facts, halafu niliwaambia tuwapongeze jeshi la polisi "kama" ni kweli huyo ndugu yake Rostam.
Hat hili gazeti mliloandika hamlijuwi? hata Zitto kisha lilalamikia toka kitandani maskini ya mungu, anaumwa lakini kashindwa kustahamili.
Hii inajulikana ni siasa ile "maji taka" baada ya Kikwete kuwafyatulia viwanja vya kanisani kuhusu "unga" au mmesahau? mnanchekesha.
willium lukuvi tunataka uonyeshe mkanda wa namna assad alivyo kamatwa maana alipo kamatwa askofu mulikimbilia kuliarifu bunge sasa amekamatwa kada wa ccm , je ccm inaongzwa kwa fedha za dawa za kulevya???
Nani aliyemusaidia kuingiza karibu gunia zima la dawa za kulevya ??
Nani alikuwa anamulinda??
Mpaka muvuane magamba kwanza ndipo mkamatane??
Ndio maana hata suala la ushoga mupo kimya !!!
Kama ni kweli mdogo wake, hapo ndipo inatakiwa Serikali isifiwe kwa kufuata mkondo wa Sheria na si jina.
Mie niwaambie nini? naona mnamwaga pumba tu, mchele hakuna. Hivi "ASSAD ABDULSUL AZIZI" hilo ndio jina la baba'ke Rostam. Ndio maana ukisoma nyuma nikawaambia "akili ni nywele kila mtu ana zake". Kwanza njooni na facts, halafu niliwaambia tuwapongeze jeshi la polisi "kama" ni kweli huyo ndugu yake Rostam.
Hata hili gazeti mliloandika hamlijuwi? hata Zitto kisha lilalamikia toka kitandani maskini ya mungu, anaumwa lakini kashindwa kustahamili.
Hii inajulikana ni siasa ile "maji taka" baada ya Kikwete kuwafyatulia viwanja vya kanisani kuhusu "unga" au mmesahau? mnanchekesha.
Hii habari ina walakini kidogo, muuza madawa ya kulevya anaweza kuwa yoyote cha msingi ni kuwa macho na kila mtu.
Nasikia hata yale mamilioni CDM wanayopewa na yule mhindi yanatokana na madawa ya kulevya.
Serikali inatakiwa isifiwe kwa kuonesha kweli wanaokamatwa wanaadhibiwa kwa kufuata sheria;lakini sio hivyo tunavyoona hapa Tanzania!!. Watu wengi wanakamatwa na madawa ya kulevya lakini muda si mrefu wanaachiwa huru kwa kutumia influence yao, hilo limeonekana mara nyingi tu, washiriki wa madawa ya kulevya wanakamatwa na kupelekwa mahakamani aidha wanatozwa faini ndogo ambayo siyo deterrent au huachiwa na kesi hazisikiki kabisa hata magazetini; mfano ni yule mwanamke drug baroness kutoka Kenya ambaye hata Marekani wamempiga marufuku, huyu mama alikamatwa hapo Dar na akafikishwa mahakamani lakini cha kushangaza mpaka leo hii kesi yake haijasikika tena!! Serikali ombaomba ni rahisi kuwekwa mifukoni na hawa wanaojihusisha na biashara ya madawa ya kulevya kwani wana fedha nyingi na kama tujuavyo viongozi wa serikali yetu wanapenda kujazwa mapesa mpaka wanapendekeza sheria ya kununua mashine mitumba ili watuibie vizuri. Shame on you!
Udini huooooooooooooooo!
.By FaizaFoxy
Mie niwaambie nini? naona mnamwaga pumba tu, mchele hakuna. Hivi "ASSAD ABDULSUL AZIZI" hilo ndio jina la baba'ke Rostam. Ndio maana ukisoma nyuma nikawaambia "akili ni nywele kila mtu ana zake". Kwanza njooni na facts, halafu niliwaambia tuwapongeze jeshi la polisi "kama" ni kweli huyo ndugu yake Rostam.
Hata hili gazeti mliloandika hamlijuwi? hata Zitto kisha lilalamikia toka kitandani maskini ya mungu, anaumwa lakini kashindwa kustahamili.
Hii inajulikana ni siasa ile "maji taka" baada ya Kikwete kuwafyatulia viwanja vya kanisani kuhusu "unga" au mmesahau? mnanchekesha
tusubiri matokeo,Najua kwa hapo ni nguvu ya soda tuu kushikwa lakin kuhukumiwa hautasikia kafungwa mtuu wala nini,kimya kimya kijana anarudi mtaani:crutch: