Mdogo wake mwanahalisi gazeti anakuja litakuwa mtaani kwajina la Smart

The Palm Tree

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
7,877
2,000
Kwan hawa kina mbowe mpka sasa hawajatoka aiseee

Yes, hawajatoka.

Kimsingi, mahakama ilishatoa go ahead ya watuhumiwa wote 6 kuwa bailed.

Bahati mbaya kuwa taratibu za kukamilisha hiyo dhamana zikapata mikingamo fulani na kumbuka ilikuwa alhamisi....

Siku zilizofuata yaani ijumaa, j'mosi, juma2 na j3 ni public holiday na weekend na mahakama nayo iko off session.

Kwa mantiki hiyo walilazimika na wanalazimika kubaki selo until next tuesday tayari kukamilisha taratibu za dhamana....

Hopefully, they will be out of the Police custody by that time next week...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom