Mdogo wake Mwalimu Nyerere afariki

Zanaki

JF-Expert Member
Sep 1, 2006
545
75
Mdogo wake Mwalimu Nyerere,Josephat Kiboko Nyerere amefariki leo huko kwao Butiama.Huyu alikuwa ni last surving child kutoka kwenye tumbo la mama yao.

Mungu ailaze pahala pema peponi roho ya marehemu.
 
Amen,
Kiboko and I lived together at one time in Mwalimu Nyerere's Magomeni house in the early sixties. He was a favourite of my late mother.
 
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi~AMEN.
 
Amen,
Kiboko and I lived together at one time in Mwalimu Nyerere's Magomeni house in the early sixties. He was a favourite of my late mother.

RIP Kiboko!

Jasusi inaonekana mzee umekula chumvi nyingi- sisi wengine wakati huo wala hatujazaliwa!
 
poleni sana familia ya mwalimu..nakumbuka wakati wa maadhimisho ya nyerere day mpwa wa mwalimu alilalamika kuugua kwa kiboko ..ambaye alikuwa kipenzi cha mwalimu..na nmna alivyokosa msaada wa matibabu kutoka serikalini...
 
Mzalendohalisi,
We acha tu! Sixties in Magomeni with Kilwa Jazz was the place to be. Marehemu alikuwa mcheshi na mpenda watu. I will miss him!
 
Mzalendohalisi,
We acha tu! Sixties in Magomeni with Kilwa Jazz was the place to be. Marehemu alikuwa mcheshi na mpenda watu. I will miss him!

Pole kwa familia ya Nyerere.
Jasusi pole kwa kuondokewa na rafiki yako
 
polen sana familia ya mwalimu,,tunaomba mtuombee tufike robo ya miaka yake
amin
 
Pole sana mzee Jasusi na familia nzima na wewe Zanaki Kingdom maana ndiyo hao hao .Mungu ni mwema na kila mmoja ana zamu yake ya kuitwa mbele za haki .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom